Miguu yako weeapo

hawa ndio wanaochana vyandarua
 
Ugonjwa wa kuliwa kucha ni ugonjwa mbaya sana au fungus za miguuni sandals hazivaliki, hata ukilazimisha kuvaa aibu wanaona wengine
 
Ugonjwa wa kuliwa kucha ni ugonjwa mbaya sana au fungus za miguuni sandals hazivaliki, hata ukilazimisha kuvaa aibu wanaona wengine

Kule kwetu kuna vitu vibaitwa funza....wakikuvamia miguuni wanakula kucha na miguu wanaitia kilema...ukitembea mtu anaweza kudhani unafanya mazoezi ya kwaya. Usiombe wafike hadi mikononi....hatari sana sheikh vidole vinabaki vyeupe bila hata kipande cha ukucha. Waweza kumwona dada mzuri au mkaka mhendsam mwangalie miguuni sasa unachoka
 

Looo salaleee akitembea kama anafanya mazoezi ya kwaya
 

Nimecheka kweli, halafu miguu ikishaliwa hivyo inakuwa inakataa njia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…