Ndio nimeanza kusoma Peeling Back the Mask: A quest for Justice in Kenya,huyu jamaa hakika ana kipaji kikubwa cha kusimulia,nipo bado mwanzoni kuna sehemu ninaposoma hunifanya nicheke sana,ni mwandishi mzuri sana,tatizo ninaloliona ni malezi yake ya utotoni yanamfanya yeye ajione anaonewa wakati wote kwa hiyo hana budi kupambana kwa hali yoyote,pia si mtu wa kusamehe ana visasi na mwisho ni mtu ambaye sisi huko TZ tunaita mtu wa maringo lakini hiyo pia ni kutokana na mila za kabila laki ambao hupenda kujikweza huko kwetu TZ tuna kabila linaitwa Wahaya ni kama Baganda(?)wa Uganda ambao ni watu wa kujisifu.Kwa sisi waafrika kimila kuna mambo ambayo hata kama unayajua huyaweka chini ya zuria,MM ni lafi/mroho ndio maana alirudi nyumbani akitegemea madaraka makubwa hata hayo aliyopewa aliona hayatoshi,kwa sasa abaki awe mtunzi wa vitabu tu poor MM tamaa ilimponza fisi.Pamoja na yote jamaa ni mwandishi mzuri na anajua kupamba uandishi wake ambao hufurahisha sana na ila akikasirika haoni mbele.This is more complex than you are making it sound.
Umesoma kitabu?
Ndio nimeanza kusoma Peeling Back the Mask: A quest for Justice in Kenya,huyu jamaa hakika ana kipaji kikubwa cha kusimulia,nipo bado mwanzoni kuna sehemu ninaposoma hunifanya nicheke sana,ni mwandishi mzuri sana,tatizo ninaloliona ni malezi yake ya utotoni yanamfanya yeye ajione anaonewa wakati wote kwa hiyo hana budi kupambana kwa hali yoyote,pia si mtu wa kusamehe ana visasi na mwisho ni mtu ambaye sisi huko TZ tunaita mtu wa maringo lakini hiyo pia ni kutokana na mila za kabila laki ambao hupenda kujikweza huko kwetu TZ tuna kabila linaitwa Wahaya ni kama Baganda(?)wa Uganda ambao ni watu wa kujisifu.Kwa sisi waafrika kimila kuna mambo ambayo hata kama unayajua huyaweka chini ya zuria,MM ni lafi/mroho ndio maana alirudi nyumbani akitegemea madaraka makubwa hata hayo aliyopewa aliona hayatoshi,kwa sasa abaki awe mtunzi wa vitabu tu poor MM tamaa ilimponza fisi.Pamoja na yote jamaa ni mwandishi mzuri na anajua kupamba uandishi wake ambao hufurahisha sana na ila akikasirika haoni mbele.
Mwanamke aliyeachwa na sasa analia wivu,tabia ya MM ni ya mwanamke aliyepewa talaka wakati bado ana mapenzi na mumewe,kwa wivu wake wa kumkosa mume inabidi ampakazie kwa kutoa siri za ndani lengo ni tukose wote.
i will need a copy also! But to be fair the guy sounds intellect regardless of his pompousness, antics, jibes and bad loser attitude! And he will reap way handsomely coming March 04! :becky:I hear ye bro!
...hope you downloaded a copy of the last one.
...hii nikipata I will surely avail you a copy.
Meanwhile, dont get me wrong the guy is a friend. Mimi aliponiacha mataani is how he went about marketing the
last book. On a personal level the guy forgot about most of those who were with him in the trenches.
Alipokua hapa Canada he was ok...mainly to the male folk....wanawake wanamtazamo wao and I wont
speak for them. When he got with Raila and then started having fantasies of becoming Kenya's next
Attorney General, then the Luo in him started coming out. If you have lived amongst Luos, especially the Kenyan
type, then you will understand what I'm talking about.
Then the his ego got the best of him in the PM's office and the rest is history. Iko ishu nyengine siezi kuandika
hapa na itabidi niku-PM ndiposa unielewe. There is no love lost for the guy and like you say, love him or hate
him the man can hold his own...without a doubt.
I'm still wondering what happened to his quest for the gubernatorial seat of Nairobi County. After he wrote
the first book he was waxing lyrical about running for office. Those in the know what happened.
Moreover, he was once charged for sexual harassing a woman way back when he was practicing as an advocate in Canada!What word did you use Ab-titchaz against miguna miguna about his strident loathsome attitude towards women? I feel that is untrue, becuase the guy has a wife and children. so this might have been doing rounds at the BP/shell house offices
I am curious to read Miguna's latest, even as I find his candidate fallible. I guess there is virtues in the concept of going for the lesser devil.
Ab-Titchaz upoo?
Mkuu nipo...just canvassing to get a pdf copy of the damn thing.