Migrant crisis: Austria lorry held more than 70 bodies

Makini

Senior Member
Joined
Dec 23, 2014
Posts
154
Reaction score
59
Maafisa wa Austria wanasema miili zaidi ya sabini (70), inayodhaniwa kuwa ya wahamiaji, imekutwa kenye lori lililotelekezwa njiani siku ya Alhamisi. Awali ilikadiriwa kuwa kati ya watu ishirini (20) na hamsini (50) wamekufa katika lori hilo, lililokutwa karibu na mpaka wa Hungary.

=================

 
sijui kwanini hawaendi Saudi Arabia ambayo iko karibu na Syria, shida wanazopata ni kubwa mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…