Mbona UDOM nasikia mna Forums yenu, kwann usingeanzia huko, ili mji organise, mkaingie bungen, mnawashika mawaziri wa elimu, na wa fedha mna Jipigia Mmoja mmoja,
Ngumi ni kawaida tu bungen sikuiz, nyie mjikusanye 2, tangazianen UDforum na Facebk ili muwe na nguvu zaid Woote mkazunguke Jengo la Bunge zima muwe kama mmeliteka, alafu mnatangaza kutowaruhusu mawazili na wabunge kutoka, mpaka wawape vyenu, sio mkagome vitest na kupiga makelele 2 humu, ikiwezekana muwachukue na ma Lecture kabsa muvamie bunge.