Migomo mzumbe na udom soon.

Johnson Alex Otieno

Senior Member
Mar 14, 2013
165
39
Hahari za kuaminika kutoka vyuo tajwa hapo juu,vijana wamechoshwa na ukata unaowakumba toka wameanza mwaka mpya wa masomo,vjana hawa wamekuwa wakitaka kujua hyo loanboard maana yake nn kwani hawaoni tofauti yakuwa na access na mkopo na acyekuwa nayo,vjana hawa kwa muda tofauti wameckika wakisema hawataweza kufanya test zlzopagwa na kugomea kwenda darasani mpaka wapewe hela zao za accomodation na field.Hlo ntafana maana wale wa UDSM wana tofauti gani mpaka wapewe hela kwa wakati hku UDOM wakicheleweshewa?
 
Hao magamba CHASO mmewafanyeje tena. CCM yenu haijawapa boom. Mwambieni Msaliti mwenzenu ZZK awasaidie hela ya kula.
 
We anzia facebook kwanza sio kujankucheza na sharubu za wazee wako huku
 
Hahari za kuaminika kutoka vyuo tajwa hapo juu,vijana wamechoshwa na ukata unaowakumba toka wameanza mwaka mpya wa masomo,vjana hawa wamekuwa wakitaka kujua hyo loanboard maana yake nn kwani hawaoni tofauti yakuwa na access na mkopo na acyekuwa nayo,vjana hawa kwa muda tofauti wameckika wakisema hawataweza kufanya test zlzopagwa na kugomea kwenda darasani mpaka wapewe hela zao za accomodation na field.Hlo ntafana maana wale wa UDSM wana tofauti gani mpaka wapewe hela kwa wakati hku UDOM wakicheleweshewa?
hivi unataka kufananisha chuo chako cha kata UDOM na chuo bora sana barani Afrika na ulimwenguni pia(UDSM),sisi wenzenu tulishasign tayari mzigo wa pili,serikali wenyewe wanajua kuwa tusipopewa muda muafaka tunaandamana
 
Mbona UDOM nasikia mna Forums yenu, kwann usingeanzia huko, ili mji organise, mkaingie bungen, mnawashika mawaziri wa elimu, na wa fedha mna Jipigia Mmoja mmoja,
Ngumi ni kawaida tu bungen sikuiz, nyie mjikusanye 2, tangazianen UDforum na Facebk ili muwe na nguvu zaid Woote mkazunguke Jengo la Bunge zima muwe kama mmeliteka, alafu mnatangaza kutowaruhusu mawazili na wabunge kutoka, mpaka wawape vyenu, sio mkagome vitest na kupiga makelele 2 humu, ikiwezekana muwachukue na ma Lecture kabsa muvamie bunge.
 
ww uliyetoa hii post upo chuo gn? mbona hz newz ndo nazipata kwako ? acha kutoa taarifa zisizo za uhakika. me nipo udom COed na ww je? sio unatoa taarifa za uwongo tu.
 
poleni sana huko komaeni,UDSM wanasaini boom la pili wiki ya sita tu
 
hivi unataka kufananisha chuo chako cha kata UDOM na chuo bora sana barani Afrika na ulimwenguni pia(UDSM),sisi wenzenu tulishasign tayari mzigo wa pili,serikali wenyewe wanajua kuwa tusipopewa muda muafaka tunaandamana

We ni kilaza toka lini elimu bora ikapatikana Bongo???
Ndo umeingia mjini juzi ama
 
We ni kilaza toka lini elimu bora ikapatikana Bongo???
Ndo umeingia mjini juzi ama
nipo kitambo sana hapa jijini dsm,km unaona elimu ya bongo ni mbovu hii si kwa sababu nyinyi vijana wa siku hizi mnapenda sana facebook,bbbm,twitter afu kwenye paper mnachora mazombi,je iko kwanani???
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom