fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,270
Ndoa ni baraka na hainaga miongozo
mawardat Aaliyyah ujumbe uwafikie wadogo zangu.Kwamba kuna migogoro,vituko,usaliti na kila aina kero,hakuifanyi ndoa kuwa ni taasisi mbaya,ndoa ni muhimu sana.Enyi kina kaka na kina dada,kipimo chako cha kumpenda Mungu wako ni kuoa au kuolewa.Na msidanganywe na watu kuwa eti ndoa hazina faida yoyoye,ni uongo,ndoa ni muhimu kwa maisha yako.Kama hujaoa au kuolewa badi huu ndio mwaka wako,uolewe na uoe
Tumesikia binafs sijawah fikiria kuwa ndoa ni mbaya na naamini ndoa yngu na mtoto wa mtu itakuwa yenye amani na upendo
Safi sana jamani mchangamke basi nile pilau la harusi zenu warembo maana sii mnajua kaka yenu tayari nina miyawa so wakati wowote narudisha roho kwa muumba.Tumesikia binafs sijawah fikiria kuwa ndoa ni mbaya na naamini ndoa yngu na mtoto wa mtu itakuwa yenye amani na upendo