eenh! hata sielewi kinachoendelea!
eenh! hata sielewi kinachoendelea!
Kyalow nimeanza kutumia simu mwaka 2008 nikiwa form 3b! Lol..
kumbe wewe mtoto wa juzijuiizi tu huweizi jua historia ya jf ilianzia wapi na tumetoka nayo wapi
utupe shikamoo
kumbe wewe mtoto wa juzijuiizi tu huweizi jua historia ya jf ilianzia wapi na tumetoka nayo wapi
utupe shikamoo
umesoma post ya Khantwe kuhusu ulichonijibu?huwezi jua hiyo ni historia yetu sisi tuliokuwepo miaka hiyo ya 2006-2007 kipindi kile nilikuwa naweka
vimada vya kutupia sijui kama wanakumbuka niliweka mada iitwayo KARANGA watu wakaichangia na kukejeli na kufurahia na mkuu Baggy akawa ananipm kujua nimetoa wapi kitu kile sijui kama wanakumbuka akina shalow
Yani huyu anajifanyaga anamiliki jf mi ananikera kweli yan
Basi msigombane wajameni... ladyfurahia you got to change, be smooth where possible.... be complex where complexity is needed..
Mi ni kijana mdogo ndio, but najitambua vibaya sana!... :sorry::sorry:
:focus::focus::focus::focus:
Hahahahah...unadhani mi nagombana basi....ni kawaida yangu ubongo wangu hauna sehemu ya kuedit maneno kabla hayajatoka mdomoni
lol.. hivi hii Mig33 inahusu nini?
mbona siielewi mie?
Aiseee mke mwenza ujue hii kauli yako inaboa sana....
Hahahahah...unadhani mi nagombana basi....ni kawaida yangu ubongo wangu hauna sehemu ya kuedit maneno kabla hayajatoka mdomoni
umesoma post ya Khantwe kuhusu ulichonijibu?
sikupenda kukujibu ndivyo sivyo, najaribu kukueleza kwa PM lakini inagoma... chunga sana kauli zako...
sorry mke mwenza najua ni utani tu hapo jamani au kuna nilichokosea best?
sawa mke mwenza lakini sio mara ya kwanza kukusikia unaongea hivi
huelewi sababu umejulia net ukubwanilol.. hivi hii Mig33 inahusu nini?
mbona siielewi mie?
huelewi sababu umejulia net ukubwani
huelewi sababu unaandika c h a r t badala ya chat