Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
KATIKA makala zilizotangulia tumeona mifumo ya sheria mbalimbali zinazotumika kusimamia sekta ya mafuta na gesi asilia katika nchi za Afrika zenye rasilimali hizo.
FikraPevu inaendelea kuchambua taarifa mbalimbali zinazohusiana na uzalishaji wa mafuta na gesi barani humo na katika Makala ya leo tutaangalia mifumo ya kodi zinazokusanywa kutokana na sekta hiyo katika baadhi ya nchi za Afrika.
Soma zaidi hapa => Mifumo ya kodi kwa nchi zinazozalisha mafuta Afrika | Fikra Pevu