Ni miaka 10 sasa tangu huu mchakato uanze, lakini wahindi hutembeza sana rushwa na kuendeleea kuua watu na hizo sumuWanahongwa na wahindi wanaotengeneza hii mifuko huko viwandani ndo maana hili suala linapigwa danadana.
Ofisi ya waziri wa mazingira na hata Nemc hawako serious katika hili suala zaidi ya danadana za kisiasa tu,
Wanalinda masilahi ya wenye viwanda vya plastic.
Hahaaa,hapo lazima uwe mpole.Sasa mkuu unatarajia nini kama umeonyeshwa bank payee tshs 570mil kwa kamati yako?
Mleta uzi ni sakaya 90%Wanahongwa na wahindi wanaotengeneza hii mifuko huko viwandani ndo maana hili suala linapigwa danadana.
Wahindi bwana!!Nawahakikishieni haiwezi kupigwa marufuku! wahindi wanawahonga sana watu wa NEMC na wizara husika ili wasipige marufuku hii mifuko ambayo sasa ni janga! labda raisi magufuli apige marufuku lakini sio hawa NEMC au wizara.
Kumbe ndo ID yake hiiMleta uzi ni sakaya 90%