Msaada jamani : hivi mnavyoona kunaulazima kwa mwajiriwa kujiunga na mifuko ya pension km NSSF,PPF, LAPF etc.. Na ni mfuko gani wa lazima ambao kila mwajiriwa anatakiwa kujiunga?[/QUO
Ni hiari yako kijana.Unajiunga na mfuko wowote unaotaka.Usikubali kulazimishwa na mwajiri kujiunga na mfuko usiopenda.SHERIA KWA SASA INARUHUSU,WAWEZA JIUNGA PSPF,NSSF,PPF,LAPF,GEPF.HAKUNA WA WATUMISHI WA PRIVATE AU SERIKALI.