idoyo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2013
- 3,051
- 1,415
Kilio cha muda mrefu kuhusu sekta ya hifadhi ya jamii huenda kikapatiwa ufumbuzi kwa kile serikali inachoamini kitakuwa suluhu, kuunganisha mifuko!
Serikali kupitia SSRA imesema miongozo inaandaliwa kuona namna sahihi ya kuunganisha mifuko hiyo.
SSRA imekaririwa na Daily News kuwa PPF na NSSF itakuwa mfuko mmoja wa sekta binafsi, na GEPF, PSPF na LAPF kuwa mfuko mmoja wa sekta ya umma!