Mifano zaidi ya Kuiga - Sheria msumeno, hukata wakubwa kwa wadogo... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mifano zaidi ya Kuiga - Sheria msumeno, hukata wakubwa kwa wadogo...

Discussion in 'International Forum' started by Chapakazi, Oct 17, 2009.

 1. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Champagne trouble for Serbia head

  [​IMG]
  President Tadic says he is willing to pay a fine


  Serbian President Boris Tadic is facing charges for drinking champagne at a football stadium to mark Serbia's qualification for the 2010 World Cup.
  Police asked a magistrate in Belgrade to start misdemeanour proceedings against Mr Tadic and several other top Serbian officials.
  The consumption or possession of alcohol is forbidden at Serbia's sports venues in order to prevent violence.
  President Tadic has said he is willing to pay a fine if necessary.

  'Headache'

  The incident happened last Saturday at Belgrade's Red Star stadium - immediately after Serbia's football team trounced Romania 5-0 and clinched its place in the 2010 World Cup finals in South Africa.
  [​IMG]
  Serbia's victory triggered huge celebrations around the country

  Mr Tadic reached for a glass of bubbly to kick off the party in a VIP lounge to celebrate the victory.
  But police this week decided to charge Mr Tadic and those who shared the toast, including Serbia's sports minister and the head of the country's football association.
  They are accused of "violating the law preventing violence and indecent behaviour at sports matches", a police statement said.
  Now Mr Tadic and other officials could each pay a fine of more than $750.
  So, while Serbian football fans shook off their hangovers with ease, the president may face a rather worse headache, the BBC's Mark Lowen in Belgrade says.
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Rais Boris Tadic wa Serbia Saturday, October 17, 2009 8:59 PM
  Rais wa Serbia amefunguliwa mashtaka mahakamani kwa kuvunja sheria ya kutokunywa pombe kwenye viwanja vya michezo. Polisi wa mji wa Belgrade, Serbia wamemfungulia mashtaka rais wao Boris Tadic kwa kuvunja sheria za kupambana na watu wanaofanya vurugu kwenye viwanja vya michezo kwa kunywa pombe kwenye uwanja wa soka.

  Rais Tadic alifungua chupa ya shampeni kushangilia ushindi wa Serbia wa mabao 5-0 dhidi ya Romania na kufanikiwa kupata tiketi ya kushiriki kwa mara ya kwanza fainali za kombe la dunia zitakazofanyika nchini Afrika Kusini mwakani.

  Polisi walimfungulia mashtaka rais huyo pamoja na waziri wake wa michezo na viongozi wa chama cha soka cha Serbia ambao wakiwa kwenye jukwaa la wageni maalumu walifungua chupa kadhaa za shampeni kushangilia ushindi wa Serbia katika mechi hiyo.

  Sheria za Serbia zilizotungwa ili kupunguza vurugu kwenye viwanja vya soka, zinapiga marufuku mtu yoyote kunywa au kuuza pombe kwenye viwanja vya soka.

  Rais Tadic amekiri kosa lake na amesema yuko tayari kulipa faini iwapo mahakama itamuona ana hatia.

  http://www.nifahamishe.com/NewsDetails.aspx?NewsId=3347010&&Cat=2
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  teh teh .duuuh kazi kwelikweli
   
Loading...