Miezi inakata sina mood kabisa na huyu mwanamke

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Tabia yake ya kukagua kagua simu yangu

Kusikiliza maneno ya watu

Kunilazimisha kupima

Nimekosa mood kabisa hata ya kumgegeda ,nimetokea kumchoka ghafla kutokana na huu utovu wake wa nidhamu anaoniletea.

Nimeghafirika sana,anataka kunichunga kwani mi mbuzi

Halafu tumekutana ukubwani tena tumelelewa mazingira na maadili tofauti

Naona hataki kukubali kwamba hawezi kunibadilisha,ila nampenda na kumthamini Sana,ila hii tabia yake ya kutaka kunicontrol nimeshamkinai nna miezi hata papuchi yake sijagusa

Kama anagongwa ni juu yake coz papuchi ni yake,ila nimeshakataa kuwa mtumwa wa mapenzi.

End of thread
PhotoGrid_1558014629518.jpeg
 
Kama hivi kukagua kagua simu ya mwanaume wako na kumwona kama mshenzi kumbe ana upendo mwingi tu ila gubu linalose mood ,na angekua uarabuni ningemshtaki atupwe jela kwa sababu ya kukagua kagua simu yangu
Umemzalisha watoto wawili umemgonga miaka 7 hakuna ndoa..... Wanawake sijui tunakosea wapi dah
 
Mkuu mwenye shida ni wewe na siyo yeye

Mwanaume amri

Na ukifika kule unamfukunyua mpaka akili inamkaaa
 
Duh mzee baba we ni hatari sana uyo shemeji yetu ndio umemzalisha alafu umegegeda 7 years ila mungu anakuona
Aliwe tu mkuu,nimemzalisha watoto wawili na nimemlomba kwa miaka 7 sasa so akilombwa na wengine kwangu sio inshu
 
Kwan unawac wac gani kama uko salama ata akitaka kulala nayo mwache tu coz ndo itampa a man zaidi.

Tatizo lako mkuu unaonekana hujatulia ndo maana hupendi kuchunguzwa we ukirudi job weka cm mezan achezeee mama achoke akichoka ataiacha

Alafu itazidi kukuongezea uaminifu zaidi. Umemzalisha SNA mwenzetu miaka7 bila ndoa na watoto juu alafu Leo unaleta polojo zako wallah, huendi mbinguni hiyo ni dalili ya kumchoka na umeshapata kimada kipya ndo unakigonga huko mama watoto humtaki tena.

Usifanye hivyo, wenzio wanachepuka huku wanaheshimu familia zao sasa ww cjui unakwama wap ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom