Jamani dunia hii mbaya. Kuna rafiki yangu kanieomba ushauri kuwa sasa ni miezi nane yeye na mumewe wanalala kitanda kimoja hamna kitu. Wanasalimiana tu asubuhi halafu kila mmoja anaanza. Jamaa kakauka na mama naye anamwangalia tu haya ni baadhi ya matukio na Bibie kasema amechoka kabisa na mambo ya mumewe huyo kwani kila wakati ana hasira
- akiuliza kitu tena kwa kutegeshea akijibiwa anaaza kufoka
- kuna siku wako katikati ya mechi jamaa akamwambia mkewesi ukatazame wenzio wanavyofanya kwenye sinema?
- Mara hivi wewe mwanamke ulizaliwa siku gani
- Mara yaani ajuta kukuoa
Yote hayo anafanya na mama akitaka kondoka jamaa anakosa amani.
Huyo dadasasa amejiamulia kukaa kimya na mambo yake ukiwaon uwote utadhani wana amani lakin kwa kweli wanawawanaficha mengi ndan ya nyumba zao.
Jamaa na kazi yae nzui hata aa halipi za watoto lakini misifa kibaona pengin litasoma humu lijione.