mxyo16
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 1,243
- 758
Sijui inakuaje wanapewa media coverage kubwa sana, mie natolea mfano eneo moja tu hawa wapiga picha waje washuhudie na tuone kama watawapa airtime hawa madada......Nyama choma festivities.....
Hawa kina Amber na Blac Chyna wasingeshuka kwenye gari...
Hawa kina Amber na Blac Chyna wasingeshuka kwenye gari...