Hiyo ndiyo dawa, anaekunywa hivyo haugui na kama kaugua akinywa hivyo anapona.Pia middle east respiratory syndrome inasababishwa na unywaji wa maziwa mbichi ya ngamia,,na mkojo wa ngamia..
Hivyo ushauri kwa waislam walio middle east wasinywe mikojo ya ngamia kwasababu tu mtume aliagiza.
... sijawahi kulijua hili! Kumbe mikojo ya ngamia huko Mashariki ya Kati ni "kinywaji"? Fafanua Chief.Pia middle east respiratory syndrome inasababishwa na unywaji wa maziwa mbichi ya ngamia,,na mkojo wa ngamia..
Hivyo ushauri kwa waislam walio middle east wasinywe mikojo ya ngamia kwasababu tu mtume aliagiza.
Dada FaizaFoxy[emoji7][emoji7][emoji7]Usiwe na wasiwasi Waislam tunasoma.
Msikilize Shaikh Imran Hossain anamwaga darsa kuhusu hayo na mengi usiyoyajuwa. Utafaidika....
HahahahAsante sana Faiza! Kwa hakika leo nimepata kitu kipya kwamba mikojo ya ngamia ni dawa! Inatibu maradhi gani labda?
Spoken like a true foolHiyo ndiyo dawa, anaekunywa hivyo haugui na kama kaugua akinywa hivyo anapona.
Ni kinywaji kwakuwa mtume aliagiza ni dawa na kinywewe....na kinauzika sana huko middle east... sijawahi kulijua hili! Kumbe mikojo ya ngamia huko Mashariki ya Kati ni "kinywaji"? Fafanua Chief.
... Shukrani Mkuu. Sijui nani yuko sahihi kati ya WHO na huyo aliyeagiza mikojo ya ngamia inywewe kama ni kweli aliagiza.Ni kinywaji kwakuwa mtume aliagiza ni dawa na kinywewe....na kinauzika sana huko middle east
.
World health organization (WHO) wameidentify unywaji wa huo mkojo ni moja ya vitu vinavosababisha middle east syndrome
View attachment 1355226Frequently asked questions on Middle East respiratory syndrome coronavirus (MERS‐CoV)
WHO FAQs on MERS-CoVwww.who.int
Now you know... sijawahi kulijua hili! Kumbe mikojo ya ngamia huko Mashariki ya Kati ni "kinywaji"? Fafanua Chief.
... nahisi aliongea lugha ya kinyume wao wakashindwa kumwelewa wakaenda kubugia mamikojo ya ngamia. Hata manabii wengine na Yesu Kristo mwenyewe walipenda sana kutumia lugha ya kinyume utadhani kasema fanya hivi kumbe ni kinyume chake.Now you knowView attachment 1355229
Jiulize kama hao jamaa walipona kweli kwanini waliamua kumuua mchunga ngamia na kuwafungulia ngamia wakimbie badala ya kumshukuru mchungaji na kurudi kwa mtume??
Kwanini mtume aliwaua baada ya kufanya hivo??
Kumbuka anayereport hii hadith ni muislam na yuko biased kwahyo inawezekana hata walipokunywa walianza kuharishaView attachment 1355232
Kwahiyo "nenda kanywe mkojo wa ngamia"... nahisi aliongea lugha ya kinyume wao wakashindwa kumwelewa wakaenda kubugia mamikojo ya ngamia. Hata manabii wengine na Yesu Kristo mwenyewe walipenda sana kutumia lugha ya kinyume utadhani kasema fanya hivi kumbe ni kinyume chake.
...duh!Hiyo ndiyo dawa, anaekunywa hivyo haugui na kama kaugua akinywa hivyo anapona.
Usishangae hiyo dawa, Mungu wa kwenye biblia amewapa mashonde zaidi ya mwaka mzima, sina unajuwa mashonde kuwa ni mavi? Soma......duh!
Now you knowView attachment 1355229
Jiulize kama hao jamaa walipona kweli kwanini waliamua kumuua mchunga ngamia na kuwafungulia ngamia wakimbie badala ya kumshukuru mchungaji na kurudi kwa mtume??
Kwanini mtume aliwaua baada ya kufanya hivo??
Kumbuka anayereport hii hadith ni muislam na yuko biased kwahyo inawezekana hata walipokunywa walianza kuharisha
Oh the "lets go to the Bible defense"Unashangaa hiyo Stori ya Bukhari ya maziwa na mkojo wa ngamia kuwa dawa wakati wanasayansi wametafiti na kukiri kuwa kweli ni dawa.
Hushangai Mungu wa biblia kuwalisha Wana wa Israeli mavi Kwa siku 390? Sijui ilikuwa dawa hii au adhabu ya Mungu kuwalisha mavi? Soma...
Ezekiel 4:
12 Nawe utakila kama mkate wa shayiri, nawe utakioka mbele ya macho yao juu ya mashonde yatokayo katika mwanadamu.