P PRINCE D Member Aug 11, 2011 53 12 Nov 6, 2011 #1 wat would be the problem with my laptop coz 4 the first time ndo naexperience such a problem
Mlamoto JF-Expert Member Nov 4, 2010 351 136 Nov 6, 2011 #2 kuwa makini unapouliza swali kama unataka usaidiwe.taja vifuatavyo; aina ya computer. uwezo au specifications zake. windows au os gani unayotumia. tatizo au error meseji. ulifanya kitu gani?office ipi? alafu nikusahihishe lugha ni collapse...
kuwa makini unapouliza swali kama unataka usaidiwe.taja vifuatavyo; aina ya computer. uwezo au specifications zake. windows au os gani unayotumia. tatizo au error meseji. ulifanya kitu gani?office ipi? alafu nikusahihishe lugha ni collapse...