Microsoft office 2019 imetoka. Msaada jinsi ya kuipata

Kizibo255

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
516
Reaction score
377
Habari wakuu
Microsoft office wametoa version mpya ya 2019 ikichukua nafasi ya mso 2016
Naona wanaisifia sn kwaba ina features nyingi na nzuri. Ila kikubwa sasa ndio inauzwa USD 49.99.
Ombi kwa wale wanaojua shortcut za bila kulipia, tafadhali tusaidiane maana kwa usawa huu usd 49.99 si mchezo
Nawasilisha
 
Ingia torrent mim nilipakua huko
 
Mimi natumia office 365, hii unalipia kwa mwezi kama 20,000 hivi, hii haina cha mwaka office latest ndio ya kwako. Ikitoka office mpya unaletewa kwa update.

Uzuri wa office 365 kampuni ikilipia basi na wafanyakazi wote nao wanaitumia kwa package hio hio,

Kuna jamaa wanauza hizo nafasi za office 365 ebay, mimi nilitoa 10,000 tu kama mwaka uliopita hadi leo ninayo, napata features zote za office.

Nunua hapa kwa dola 4
Office 365 | eBay

Ila sababu ni za magumashi inaweza stop muda wowote,
 
Duh kwa usawa huu ngoja tu niendelee na hii Office 2016...
 
Hiyo Mbona ni kama Laki moja tu?
 
Umenichanganya kidogo
20k kila mwezi na hiyo 10k uliyonunulia. Nifafanunulie tafadhali
 
Umenichanganya kidogo
20k kila mwezi na hiyo 10k uliyonunulia. Nifafanunulie tafadhali
 
Umenichanganya kidogo
20k kila mwezi na hiyo 10k uliyonunulia. Nifafanunulie tafadhali
Bei yake halisi ni kama 20k kila mwezi

10k ambayo unalipa mara moja tu ni bei ambayo wauzaji wa ebay wanauza,

Sababu ya wao kuuza hizo bei ni kwamba subscription ya kampuni moja inaweza involve hata wafanyakazi 10,000 hivyo kampuni inakuwa haitumii subscription zote hizo na wajanja wanaziuza kama hivyo ebay.
 
Sawa
 
S
Ama kweli wenzetu wanawaza mbele huu mwaka 2018 wametoa kitu cha 2019!!
Sisi huku kila siku headlines ni wabunge na madiwani kuhama vyama na kurudia mauchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…