Microsoft Office 2010

Microsoft Office 2010

Barraka

Member
Joined
Mar 26, 2014
Posts
21
Reaction score
1
Microsoft Office 2010 is out. Tsh 30,000 per PC/Laptop and 100,000 per PC/Laptop + a lot of Pc/Laptop unlimited installation.For more info please call 0684888841.
 
Microsoft Office 2010 is out. Tsh 30,000 per PC/Laptop and 100,000 per PC/Laptop + a lot of Pc/Laptop unlimited installation.For more info please call 0684888841.

Mmmh mkuu mbna unapiga sana wadau,
 
Microsoft Office 2010 is out. Tsh 30,000 per PC/Laptop and 100,000 per PC/Laptop + a lot of Pc/Laptop unlimited installation.For more info please call 0684888841.
Tunatumia Microsoft Office 2013 wewe bado uko na ya 2010!
 
yep.....endelea kutumia tu.......hiyo software yako unaweza to install upto 1000 pc/laptops? I don't think kama unayo software ya aina hiyo!!!
 
Microsoft Office 2010 is out. Tsh 30,000 per PC/Laptop and 100,000 per PC/Laptop + a lot of Pc/Laptop unlimited installation.For more info please call 0684888841.

Kuna microsoft office 2013 tena cracked inafanya kazi mpaka ufe, wewe unaleta obsolete technology tena wawapiga watu.
 
ok.....cracked lakini itakukamata tu......hii product ni genuine na siyo cracked kama hiyo software yako......wapo wateja ambao wananitafu......kama wewe unayo ya kwako naomba ukae chonjo!!!
 
duh...watu wanakula hela tu tatizo watu wengi hawatumii net kwa mannufaa thus wanauziwa software za kawaida mno
 
Trial version its fine/......atatumia then utatafuta nyingine tena mpaka basi......kama unayo 2014 hongera sana!!!
 
Dunia ya leo, usilete ubisha hata kidogo kwenye mambo ya kisayansi, mambo ya biashara tu haya- waweza kuta microsoft zipo mpaka 2019 zinasubiri muda tu!!
 
Mi nasikiliza tu. Mkimaliza ntachungulia filehorse.com kuona Kama hiyo anayouza jamaa ishatupiwa. Tehe tehe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom