leo nimesoma gazet la mwananchi la tar. 11 june,nimekutana na habari ya cm ya x & xl zinapatikana office za AIRTEL TZ,kwa bei ya sh.300,000/= kwa xl na 250,000 kwa nokia x.ni taarifa tu wadau,ahsanteni.
hapo cjajua mkuu,ndo nilikutana na habari hyo leo kwenye gazet la mwananchi,bt mwaka jana april nilinunua cm ya lumia 620,ilikuwa unlocked niliondoa airtel nkawa natumia voda! xo cna uhakika kwa hlo! pamoja na hvyo cm yenyewe lain mbili! cjui wana ilock vp hapo.
leo nimesoma gazet la mwananchi la tar. 11 june,nimekutana na habari ya cm ya x & xl zinapatikana office za AIRTEL TZ,kwa bei ya sh.300,000/= kwa xl na 250,000 kwa nokia x.ni taarifa tu wadau,ahsanteni.
Hizo ni bidhaa za kawaida wala sio za promotion ya airtel na unatumia lain yoyote tu na hata ukienda dukan kwao utakuta sim nying tu zaid ya nokia x au xl