.
Microsoft ndio wanaotegemewa mpaka sasa,
kama watainunua Winamp Au laa, me ni mpenz sana wa winamp.
Na ndo ina shuts down mnamo December 20. Kwa kushindwa kujiendesha yenyewe.
.
Chukua HAPA latest virsion
.
.
Hii kitu nilikuwaga naiona napuuzia tu kwa sababu nilidhani ni kama ilivyo kwenye vile vya java wanavyotengeneza waRussia. Ee dude nililitafutia skin nikaliwekea Pimeer, du! linapendeza kwelikweli.