Microsoft Excell

Microsoft Excell

GIPAMA

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2016
Posts
1,103
Reaction score
543
Wakuu, mwenye kuijua hii program naomba anipe ujuzi kidogo. Mfano vitu vya mhimu ni kama vipi? Je, hasahasa inatumika kwa mambo yapi?

Mfano mtu akikuuliza unajua nini katika microsoft excell unapaswa kumjibu vitu vipi ambavyo ni mhimu katika program hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani Uende Ujifunze Ms Excel itakusaidia kujibu maswali yako.

Nikikupa jibu hapa halitakusaidia sana maana ile kitu ni Vitendo na si Nadharia.
 
Wakuu, mwenye kuijua hii program naomba anipe ujuzi kidogo. Mfano vitu vya mhimu ni kama vipi? Je, hasahasa inatumika kwa mambo yapi?

Mfano mtu akikuuliza unajua nini katika microsoft excell unapaswa kumjibu vitu vipi ambavyo ni mhimu katika program hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
ingia youtube search Excel tutorial ujifunze
 
Wakuu, mwenye kuijua hii program naomba anipe ujuzi kidogo. Mfano vitu vya mhimu ni kama vipi? Je, hasahasa inatumika kwa mambo yapi?

Mfano mtu akikuuliza unajua nini katika microsoft excell unapaswa kumjibu vitu vipi ambavyo ni mhimu katika program hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Leta e-mail yako inbox nikutumie notice ujisomee
 
Anza kusoma hapa mdogo mdogo. Hakikisha una computer ukimaliza hii Nitakupa ya mwisho
 
Mkuu unawez nisaidia ambayo naweza jifunza Tally boss na advanced computer application? Ahsanteh
 
Back
Top Bottom