Microsoft Bootstrapper

Microsoft Bootstrapper

Twin_Kids

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
3,992
Reaction score
5,969
Habari wakuu.
Nimekuwa nikipata tatizo siku za hivi karibuni(ambalo limekuwa ni geni kwangu).
Nikiinstall MS Office,napata message hii :"Microsoft Setup Bootstrapper has stopped working". Wakati mwingine naformat zaidi ya mara moja,na nafanikiwa kuinstall office. Mwanzoni sijawahi kuwa nalo. Nabadilisha OS installers,lakini hamna. Ambacho bado sijafanya ni kubadili memories au HDD.
Maelezo ya mtandaoni kuhusu solution hayajawahi kuzaa matunda. Kwa anayefahamu hii issue naomba anijuze chanzo huwa ni nini?
 
Attachments

  • 20181123_215127.jpg
    20181123_215127.jpg
    132.6 KB · Views: 44
Computer yako ipo affected na virus,fanya clean installation ya windows 8.1 latest kisha kabla ya kuinstall chochote fanya full scanning ukimaliza kuclear virus endelea ma kuinstall program zako.
 
Shukrani kwa jibu mkuu. Lakini,sina uhahika na hilo. Nina desktop hapa,nimeformat partitions zote, baadae nikafuta partion ya pili na kubakiwa na moja; nimejaribu kudeal na permissions lakini haijanisaidia. Nimekuwa nikiface hii issue kwa mda sasa yapata miezi kama m4. Sometimes nikibadili installer ya windows,inakubali. Sasa ndo bado sijaelewa,hii inatokana na nini?
 
Habari wakuu.
Nimekuwa nikipata tatizo siku za hivi karibuni(ambalo limekuwa ni geni kwangu).
Nikiinstall MS Office,napata message hii :"Microsoft Setup Bootstrapper has stopped working". Wakati mwingine naformat zaidi ya mara moja,na nafanikiwa kuinstall office. Mwanzoni sijawahi kuwa nalo. Nabadilisha OS installers,lakini hamna. Ambacho bado sijafanya ni kubadili memories au HDD.
Maelezo ya mtandaoni kuhusu solution hayajawahi kuzaa matunda. Kwa anayefahamu hii issue naomba anijuze chanzo huwa ni nini?

zile app zako za kujiuza mtandaoni hazikusumbui
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom