Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
lumia 1520, 1020, HTC one (version ya zamani) zote zinatumia microphone za haac ambazo zinatoa noise na kufanya sauti I we clear. hizi simu zinarekodi had I club/uwanja wa mpira hivyo hazina tatizo kwenye kufanya sauti yako iwe clear ukichukua video za YouTube.
pia kuna microphone za kawaida ambazo zinacancel noise cha muhimu we we Google hizi keyword "NOISE CANCELATION MICROPHONE" zitakuja kibao kwa price ya kawaida kama dola 12..
hii hapa maarufu yake inaitwa Olympus
Labda tatizo lipo kwenye unavyo recodi, angalia software unayotumia kama inakuruhusu kucheza na settings za volume ya kurekodi, na of course avoid makelele kama feni na AC unaporekodi. Naamini headset yoyote ya Logitech inatosha kwa YouTube tutorials.
Wakuu
Naona tutorial nyingi Youtube sauti iko clear sana na inasikika vizzuri
sasa nilitaka hii makitu nimenunua Headphone fulani lkn ile video nikisikiliza kwa bila headphones sauti haisikiki au inasikika kwa mbali lkn nikivaa hizo headphone nilizototumia kitu inasikika
Kwa mwenye kujua hatupie Picha au hata Jina la kifaa hicho hata kama Bongo hakipatikani
THANKS
Japo sikuwa clear kenye swali langu
In short mm naongelea zile Video ambazo nakuwa narecord SCREEN ya Computer yangu na maneno ninayo Ongea
Kifaa gani kitaniaidia kutoa Sauti iliyo clear na itakayo sikika vizuri
sijui kama iki kinafa kwa hii case au kinafaa kwa Wale wanaochukua Videos kwa Video camera
hebu ona hio picha huoni kama ni kifaa cha kuchomeka kwenye PC?
njunwa wamavoko jaribu kuepuka kelele wewe mwenyewe kwanza kabla ya kutafuta mic nyingine. Hakikisha kelele kama za feni, mziki kutoka kwa majirani, na hata wewe mwenyewe unapoongea jaribu kuingoza sauti yako.
Nimepata cha kuuliza hapa. Nimejaribu kutumia screen video recorder kadhaa lakini zinatoa output size kubwa mno. Mnaweza kushauri ambayo inatoa size ndogo lakini katika quality ya hali ya juu.
Mm natumia SNAGIT sijui wewe umeijaribu
Ila kuhusu video size sijanotice kama kuna difference labda useme ukirecord e.g 5mins video unapata MB ngapi ili na ss tujaribu tuone huku
.
You Tube channel yako kiongozi?
.
Mm natumia SNAGIT sijui wewe umeijaribu
Ila kuhusu video size sijanotice kama kuna difference labda useme ukirecord e.g 5mins video unapata MB ngapi ili na ss tujaribu tuone huku
Duuh!Hiyo keys zake zipo
Swali langu lilikuwa je video size unapata ipi na ni video ya dakika ngapi?
Ukirecord 5mins video na mm huku nika record tutapata majibu
njunwa wamavoko nna video ya dk 1:33 lakini ina MB 18.9 hapa nlituma ezvid
haina jipya mkuu
ndo nataka kuiwekea nakshi nakshi