haya tupe gharama zako hapa tujipime1. Sijaelewa maana naona swali lako lipo kwa ujumla.
2. Ukitaka kuwa na microfinance institution ni lazma ufuate haya;
A. Usajili kampuni BRELA
B. Uombe kibali/leseni Benki kuu ya Tanzania kwa ajili ya shughuli hiyo.
Kwa upande wa BRELA utasajili kampuni ambapo unapaswa kuwa na;
1. Wanahisa kuanzia wawili
2. Mtaji tarajiwa (kuanzia 20M)
3. NIDA za wanahisa
4. TIN za wanahisa
5. Anuani na makazi ya wanahisa
6. Anuani na mahali pa ofiis ya kampuni.
7. Ada ya usajili wa kampuni(hii inatofautiana na mtaji utakaotaja.
8. Shughuli za kampuni ambayo inapaswa kuwa kufabya shughuli za microfinance pekee hupaswi kuchanganya na shuguuli nyingine
9. Jina la kampuni linatakiwa kuishia na either microfinance, credit, micro credit, etc
Kwa upande wa kibali cha BoT unahitaji;
1. Tax clearance ya kampuni
2. Ada ya usajili 500,000/-
3. Uthibitisho wa chanzo cha mtaji
Kama huwezi kufanya hayo yote hapo juu karibu nitakusaidia kwa gharama nafuu na kwa haraka.
0755963775 calls/WhatsApp
Gharama zangu kwa usajili wa kampuni ni Tsh 500,000/- ambayo itahusisha;haya tupe gharama zako hapa tujipime
Sasa boss kibali BoT mbona umetenga na msaada wa kusajili sasa shida kuu ni akamilishe hilo jambo au kuna uzito hapo?Gharama zangu kwa usajili wa kampuni ni Tsh 500,000/- ambayo itahusisha;
1. Uandaaji wa memart
2. Filing BRELA
3. Kuhakikisha unapata usajili na certificate ndani ya siku 3.
Kupata kibali cha BoT ni maelewano iwapo una nyaraka zote zinazohitajika ama nitajitaji kuzipambania mwenyewe.
BOT awana Mchezo kazi kazi! So All Docs lazima ziwe za uhakikaSasa boss kibali BoT mbona umetenga na msaada wa kusajili sasa shida kuu ni akamilishe hilo jambo au kuna uzito hapo?
Hapa unathibitishaje mkuuUthibitisho wa chanzo cha mtaji
Chanzo cha pesa zako za mtaji: umeuza shamba? Onyesha. Umeuza madini Thibitisha: Urithi thibitishaHapa unathibitishaje mkuu
Vipi kuhongwa ama kafara la damuChanzo cha pesa zako za mtaji: umeuza shamba? Onyesha. Umeuza madini Thibitisha: Urithi thibitisha
Mkuu hapo BoT ni pamoto sanaa hakuna kona kona na ndio maana sijaweka gharama ninayocharge kwani kuna situations tofauti tofauti nyingi zinazoweza kuathiri charging.Sasa boss kibali BoT mbona umetenga na msaada wa kusajili sasa shida kuu ni akamilishe hilo jambo au kuna uzito hapo?
Asante mkuu kumbe unawatambua😂😂😂😂.BOT awana Mchezo kazi kazi! So All Docs lazima ziwe za uhakika
Sawa mkuu, nimekupata ila kama hutojali limit zako kwa makadirio sh ngapi hadi ngapiMkuu hapo BoT ni pamoto sanaa hakuna kona kona na ndio maana sijaweka gharama ninayocharge kwani kuna situations tofauti tofauti nyingi zinazoweza kuathiri charging.
Ila ninaamini nimetoa taarifa zote muhimu kuhusu masuala ya usajili. Kazi imebaki kwenu wadau kwenda mbele kupambana ama kama unaona huwezi basi unipe pesa yako nikufanyie.
Kila la kheri mkuu
Sawa kiongoziBOT awana Mchezo kazi kazi! So All Docs lazima ziwe za uhakika
Mimi kutokana na complexity ya mteja ndio itaamua niifanye kazi kwa gharama ya kati ya 400k hadi 1M huwa sizidi hapo kwa kibali cha BoT pekee.Sawa mkuu, nimekupata ila kama hutojali limit zako kwa makadirio sh ngapi hadi ngapi
Okay chief. Tupo pamojaMimi kutokana na complexity ya mteja ndio itaamua niifanye kazi kwa gharama ya kati ya 400k hadi 1M huwa sizidi hapo kwa kibali cha BoT pekee.
Japo kila agent anacharge kivyake kutokana na nature ya mteja ma hali halisi ya documents anazotakiwa kuzipambania mwenyewe.
Mfano kuna mteja anakufuata anakwambia tu 'nataka kampuni ya microfinance iliyo tayari kwa kazi' hapo lazma gharama zitakua juu sana tofauti na mwingine ambaye baadhi ya mambo atafanya mwenyewe na mengine ufanye agent.
1. Sijaelewa maana naona swali lako lipo kwa ujumla.
2. Ukitaka kuwa na microfinance institution ni lazma ufuate haya;
A. Usajili kampuni BRELA
B. Uombe kibali/leseni Benki kuu ya Tanzania kwa ajili ya shughuli hiyo.
Kwa upande wa BRELA utasajili kampuni ambapo unapaswa kuwa na;
1. Wanahisa kuanzia wawili
2. Mtaji tarajiwa (kuanzia 20M)
3. NIDA za wanahisa
4. TIN za wanahisa
5. Anuani na makazi ya wanahisa
6. Anuani na mahali pa ofiis ya kampuni.
7. Ada ya usajili wa kampuni(hii inatofautiana na mtaji utakaotaja.
8. Shughuli za kampuni ambayo inapaswa kuwa kufabya shughuli za microfinance pekee hupaswi kuchanganya na shuguuli nyingine
9. Jina la kampuni linatakiwa kuishia na either microfinance, credit, micro credit, etc
Kwa upande wa kibali cha BoT unahitaji;
1. Tax clearance ya kampuni
2. Ada ya usajili 500,000/-
3. Uthibitisho wa chanzo cha mtaji
Kama huwezi kufanya hayo yote hapo juu karibu nitakusaidia kwa gharama nafuu na kwa haraka.
0755963775 calls/WhatsApp
Karibu sana mkuu namba yangu ipo hapo juuShukran kaka! Nitakutafuta