B Bugohe Member Joined Jun 24, 2025 Posts 8 Reaction score 6 Jun 26, 2025 #1 Hivi mtu aliye soma microbiology and biotechnology anaweza kufanya Kaz sehem gan
M Mtambachuo JF-Expert Member Joined May 6, 2023 Posts 2,003 Reaction score 3,702 Jun 26, 2025 #2 Bugohe said: Hivi mtu aliye soma microbiology and biotechnology anaweza kufanya Kaz sehem gan Click to expand... Maaraba kama TBS, kwenye research pia kuwa lecturer
Bugohe said: Hivi mtu aliye soma microbiology and biotechnology anaweza kufanya Kaz sehem gan Click to expand... Maaraba kama TBS, kwenye research pia kuwa lecturer
Kudasai JF-Expert Member Joined Jan 1, 2016 Posts 229 Reaction score 297 Jun 26, 2025 #3 Mtambachuo said: Maaraba kama TBS, kwenye research pia kuwa lecturer Click to expand... TMDA, Government Chemist, TVLA, NIMR, Research centres, etc
Mtambachuo said: Maaraba kama TBS, kwenye research pia kuwa lecturer Click to expand... TMDA, Government Chemist, TVLA, NIMR, Research centres, etc
GwaB JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 5,067 Reaction score 6,771 Jun 26, 2025 #4 Hospitalini lakini zaidi kwenye teaching Hospitals zenye maabala kubwa zenye uwezo wa kufanya tafiti za viwango vya juu. Mfano mzuri ni tukio la hatari la COVID-19 lilileta madhara Dunia nzima.
Hospitalini lakini zaidi kwenye teaching Hospitals zenye maabala kubwa zenye uwezo wa kufanya tafiti za viwango vya juu. Mfano mzuri ni tukio la hatari la COVID-19 lilileta madhara Dunia nzima.
B Bugohe Member Joined Jun 24, 2025 Posts 8 Reaction score 6 Jun 30, 2025 Thread starter #5 Kudasai said: TMDA, Government Chemist, TVLA, NIMR, Research centres, etc Click to expand... TMDA ni nini mkuu?
Kudasai said: TMDA, Government Chemist, TVLA, NIMR, Research centres, etc Click to expand... TMDA ni nini mkuu?
B Bugohe Member Joined Jun 24, 2025 Posts 8 Reaction score 6 Jul 1, 2025 Thread starter #6 Bugohe said: TMDA ni nini mkuu? Click to expand... tvla ni nini mkuu