hisia zinakuwepo za kufanya mbona wengine walikuwa wanafanya kweli bt ndo ivyo kwa juu juu kanaingia kiaina aina. Vitoto vijanja ndo chansi ya kupima chama kama kina dumu.Mh kibaba baba jaman nlikuwa naipendaaa.Halaf nlikuwa napenda kuchagua mama awe fulan naemtaka(of course zilikuwa ni hsia za mapenz tunazokuwa nazo utotoni)lakn hatukuwa 2nafanya ngono mana hsia za ngono hazikuwepo.Mnachum chum "watoto wenu" mnawatuma mbaliii mana wakiwashtukia mtaambiwa mumetaka kufanya MCHEZO MBAYA.ha ha ha ha
lakn hatukuwa 2nafanya ngono mana hsia za ngono hazikuwepo.
chama gani iko unachopima kiongozi?hisia zinakuwepo za kufanya mbona wengine walikuwa wanafanya kweli bt ndo ivyo kwa juu juu kanaingia kiaina aina. Vitoto vijanja ndo chansi ya kupima chama kama kina dumu.
vipo sababu kadhaa zinazochangia,kama zifuatazo;Enzi zile wakati tunakua, tulikua na michezo mingi sana
Kombolera (kwenye mahindi), magari, Unacho (kidalipoo), gololi, Kula tumbakishie baba, Kibaba baba, marede, Tobo dunda, kiboreni, mdako, kuendesha maringi n.k.
Cha ajabu sion watoto wa siku hizi wakicheza hiyo michezo. Nin kimewasibu?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Enzi zile wakati tunakua, tulikua na michezo mingi sana

palikuwepo mchezo ambao unachora chini vyumba vyumba halafu unarusha kipande cha kigae na kisha unakisukuma kwa mguu toka chumba kimoja hadi kingine. Halafu unatembea katika hivyo vyumba huku umefumba macho na kila hatua moja unauliza wenzako "Am I right?" ingawa kwakweli tulikuwa tukisema "Marait?". Ulikuwa ni mchezo unaompa mtoto changamoto na pia ni mazoezi mazuri sana. Sijawahi kuuona sasa miaka mingi kabisa.
Enzi zile wakati tunakua, tulikua na michezo mingi sana
Kombolera (kwenye mahindi), magari, Unacho (kidalipoo), gololi, Kula tumbakishie baba, Kibaba baba, marede, Tobo dunda, kiboreni, mdako, kuendesha maringi n.k.
Cha ajabu sion watoto wa siku hizi wakicheza hiyo michezo. Nin kimewasibu?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
hisia zinakuwepo za kufanya mbona wengine walikuwa wanafanya kweli bt ndo ivyo kwa juu juu kanaingia kiaina aina. Vitoto vijanja ndo chansi ya kupima chama kama kina dumu.