Michepuko punguzeni mauno

Nyamalapa

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
211
Reaction score
470
Kuna hii tabia ya michepuko kuleta mbwembwe nyingi chumbani pindi tu anapojua kwamba kuna mwenzake ambae alimtangulia na still yupo active.Unaweza ukamtafutia sehemu ya kukaa ukafungulia na biashara hata kama ni ndogo lakini akiri yake yote inakua ni kumtoa mwenzake ndani ya nyumba ili abaki mwenye.

Ukiwa nae chumbani kwenye yale mambo yetu utaona mara kakukalia hivi mara kakaa vile yani ilimradi tu akuchanganye na mahabati ili mwishowe aweze ku take over the business.Yani atajikunja kiasi kwamba unaweza ukamuweka hata kwenye mfuko mdogo wa Rambo na akaenea.

Alieanza kaanza kwahiyo kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake na sio kuleta mbembwe nyingi ili kumfanya mwenzio aachike ubaki mwenyewe.Mbwembwe zikizidi sanasana utajikuta unajiharibia tu kuliko kujenga.

Michepuko punguzeni mbwembwe na kila mtu ale kulingana na urefu wa kamba yake.
 
Bila shaka ulilala kwa mchepuko
 
bila shaka umepokea kufinyo toka kwa mchepuko..
michepuko wadumu milele
 
Huna lolote wewe huyo una ubavu wa kuwatunza wanawake wawili? Wanaume mnapenda sifa sana.

Sijui hawa viumbe wanapendaga nini? Usipokatika basi wewe gogo.

Ukikatika basi kuna jambo unalitaka.

Solution: hakuna cha kukatika wala nini ni kushika simu ukaingia jf, kazi amalizie mwenyewe.
 
Alieandika huu uzi ni jinsia gani kama ni ke sawa ila kama ni me hajielewi unataka kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake kivp yaani mi sioni ubaya wa mtu anaetumia mbinu halali na zinazokubalika kupata nafasi ya kwanza
 
bae nimekupikia kisamvu mbona hujaja?au ndo ulikuwa kwa mchepuko
Bae kisamvu nakipenda sana,shida inakuja kwenye maji ya kuoga. Unajua kabisa mi Msukuma kwetu Maswa na wewe unaniungia maji ya kuoga sijui na hiliki vitunguu ,mdalasini, mi ntawezea wapi?
 
Bae kisamvu nakipenda sana,shida inakuja kwenye maji ya kuoga. Unajua kabisa mi Msukuma kwetu Maswa na wewe unaniungia maji ya kuoga sijui na hiliki vitunguu ,mdalasini, mi ntawezea wapi?
aaa mimi sasa na wasukuma damdam,ninahistoria nzuri sana maji ya kuoga usijali nimekuchotea ya mtoni
 
 
aaa mimi sasa na wasukuma damdam,ninahistoria nzuri sana maji ya kuoga usijali nimekuchotea ya mtoni
Hahahahaaaa walahi nakugawa haiwezekani ukijulie namna hii. Mwenzio hata maji spesho sinywi. Nakunywa ya bomba tena yasiyochemshwa. Unanijuliaje wewe....??
 
Una hela mpaka unamiliki mchepuko???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…