ENZII ZA KIPINDI CHA MVUA...
MUME:mkewangu leo sitorudi home nilikwenda moro sasa daraja limekatika hapa ruvu
MKE: he mbona hujaniaga...
MUME: aaaah ilikuwa ghafla nikashindwa kukuarifu>>>
MKE:sasa watoto leo atawaangalia nani???
MUME: kwani wewe uko wapi??
MKE : mimi nilienda bagamoyo huko nako daraja limekatika kwa hiyo sitorudi????
MUME: pumbavvuuuuuu....zako shenzi nikukute SASA HIVI nyumbani
KUMBE KUCHEPULIWA INAUMA...