Nasikia wanasema ukimwaga mboga namwaga ugali natoboa sufuria
Wanasema Zinaa ni deni, ukimzini mke wa mwenzio na wako ataziniwa tuu, hata umfiche wapi, Ukizini watoto wa wenzio na wako wataziniwa tuu...hata uweke geti la chuma.
Chukua Amarula hapo kwenye bar ya masawe ntalipa....
Mke na mume wana wajibu wa kulinda ndoa...
Mwanamke anapenda kupendwa...
Mwanamme anapenda kuheshimiwa...
Ni muda sasa umefika wa kuacha kulaumu wanawake tuuuu...
Mwanaume akichiti unasikia 'jikague...'
Sasa ukaguzi ndio huo...unamwaga mboga mwenzio ugali...
Unasema wa nini wenzio wanasema nitampata lini...
Unasema mke wangu kazaa amechuja...unashangaa wenzio wanajisevia...
Kila mtu awe responsible else wote muonje maumivi ya kuchitiana...
ha ha ha nmependa hiyo namna ya kusamehe...Ahsante roho yangu kwatuuuuu! Ukweli mtamu! Na hakuna namna ya kumsamehe mwanaume msaliti kama na wewe hujasaliti! Ukicheat inapoteza maumivu na ndo kuzuia magonjwa ya moyo na stroke!
Dawa ya moto ni moto!
mtenda akitendewa anahisi kaonewa mfano ndoa ya muimba injili mmoja mmewe namfahamu kidogo tabia zake na familia yao maana alikua jirani na aunt yangu yule kaka ni malaya by nature mdada kavumililia sana but when mdada aliposema imetosha sasa kaamua kufanya yake anaonekana malaya na kutwa kwenye vyombi vya habari
wanaume nanyi mjifunze kuvumilia kusalitiwa km sie tunavyowavumilia