Miche ya mitunda yote inapatikana

Idrissou02

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
354
Reaction score
658
Mimi ni mwanafunzi wa Sua nauza miche ya mipera, miembe, michungwa , ndimu na kadhalika
Nakusafirishia popote ulipo...gharama ni constant ila usafiri maelewano
 
Attachments

  • images(4).jpg
    54.9 KB · Views: 75
mkuu kwenye tangazo kunavitu muhimu vyakuzingatia ikiwa wapi bidhaa/wewe ulipo, mawasiliano. haili ya bidhaa/ukubwa na mengine mengine muhimu ambayo yanamsaidia mteja
 
Mimi ni mwanafunzi wa Sua nauza miche ya mipera, miembe, michungwa , ndimu na kadhalika
Nakusafirishia popote ulipo...gharama ni constant ila usafiri maelewano
Gharama mche mmoja 3000 isipokuwa mipapai ya kisasa ambayo ni 5000....bidhaa zipo vizuri karibu sana
 
Una uza Miche ya korosho? Kama unauza ni sh ngapi na sifa zake tafadhari
 
Mic
 
Attachments

  • IMG-20190608-WA0037.jpg
    29.3 KB · Views: 40
  • IMG-20190608-WA0040.jpg
    37.1 KB · Views: 40
  • IMG-20190608-WA0038.jpg
    32.9 KB · Views: 40
Ungetuelewesha sisi tunaopenda kilimo ila hatuna Abc zake. Miembe inachukua muda gani hadi ikomae ? kwa mwaka unavuna mara ngapi ? maeneo gani yanafaa zaidi ?
 
Ungetuelewesha sisi tunaopenda kilimo ila hatuna Abc zake. Miembe inachukua muda gani hadi ikomae ? kwa mwaka unavuna mara ngapi ? maeneo gani yanafaa zaidi ?
Si ndio unanicheki kwny iyo namba nikupe information izo siwez sema kila kitu apo juu...au naomba namba yako
 
Miche ya korosho tunayo kwa gharama ya shilingi 1000 kwa mche.
Ni miche ya kisasa inayoanza kuzaa baada ya miaka mitatu (3).
Tunapatikana Kibaha Pwani.

0766006128
0655715184
(Samahani kwa kuingilia uzi... ni baada ya kuona mtoa uzi hana miche ya korosho)
Una uza Miche ya korosho? Kama unauza ni sh ngapi na sifa zake tafadhari
 
Haina shida boss... Nafikiri sio kitu kibaya... Naomba nikutafute kwa maelezo zaidi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…