Linguistic JF-Expert Member Joined Mar 16, 2021 Posts 3,664 Reaction score 8,277 Nov 3, 2022 #1 Tabia ya kutuchangisha michango ya harusi halafu mnakaa mwezi mnaachana sio nzuri. Acheni kuchezea hela zetu wakuu. Kabla hamjaachana, fikirieni hela zetu na usumbufu mliotupa wakati wa ndoa yenu.
Tabia ya kutuchangisha michango ya harusi halafu mnakaa mwezi mnaachana sio nzuri. Acheni kuchezea hela zetu wakuu. Kabla hamjaachana, fikirieni hela zetu na usumbufu mliotupa wakati wa ndoa yenu.