Hivi huyu jamaa ana matatizo gani kiasi cha kuelekea kukataliwa kila aendako? TFF, Mara na sasa Simba kote wanaonyesha kutokumtaka.Wanaomjua vizuri hebu tujuzeni.Kulikoni?
Wambula siyo mwanamichezo anang'ang'ania mambo ambayo hayawezi.aliharibu akiwa F.A.T pamoja na ndolanga Leo hii tena unataka uingie simba ukaiharibu.watu wanakujuwa sana hivyo hawakuhitaji hata kidogo!!