Ha ha ha! Ndege si kama smart phone ndugu. Vijana wetu hawa wa ku-bet ndege watazisikia tuWeka jitihada ipo siku na wewe utamiliki ndege.
Tayari wewe umetafsiri negative?Penda kuwa positive
Nimekuja mkuku nikajua tayari!
Ulichotamani kwa nini kisianzie kwako?Nimekuja mkuku nikajua tayari!
Umeongelea mambo mawili; umiliki wa ndege kama kampuni (aviation company), na urubani wa ndege (as an interest). Haya mawili yaende kwa pamoja, au moja kati ya hayo? Yanaweza kwenda kwa pamoja lakini safari ikawa ndefu zaidi.Kitambo sana enzi hizo nikiwa chalii mdogo naishi kijiji cha Nayeme nilianza kusikia hili jina likivuma sana.
Nop sijasema na mimi nina interest ya kumiliki kampuni hapana .ila ameni inspire tu katika kutamani kufanya kazi kwenye hiyo sector ya usafiri wa angaUmeongelea mambo mawili; umiliki wa ndege kama kampuni (aviation company), na urubani wa ndege (as an interest). Haya mawili yaende kwa pamoja, au moja kati ya hayo? Yanaweza kwenda kwa pamoja lakini safari ikawa ndefu zaidi.
Yawezekana huyo aliyeku-inspire alipitia route hiyo, lakini wewe kama nia yako ni kuwa na kampuni ya usafiri wa anga, sio lazima upitie njia aliyopitia huyo jamaa, you might take a longer route unnecessarily, kwani sio wote wanaomiliki aviation company walikuwa marubani. Hii ni sawa na kusema ukitaka kumiliki kampuni ya usafiri wa mabasi, basi ni lazima kwanza uwe dereva.
Mimwenyewe nilijua COVID tayar imempeleka akamsalimie babu wa Loliondo.Nimekuja mkuku nikajua tayari!