mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,944
- 9,161
Kitambo sana enzi hizo nikiwa chalii mdogo naishi kijiji cha nayeme nilianza kusikia hili jina likivuma sana.
Huyo ni Maiko Ngaleku tulikuwa tunahadithiana na kufarijiana kama watoto wa hapo kibaoni na Nayeme kwamba tukiwa wakubwa tunataka kuja kuwa kama Maiko Ngaleku kwa vile anamiliki ndege. Na kweli tulikuwa tukisikia inapasua anga tunapiga kelele ndege ya "Maiko Ngaleku hiyoo".
Kwa kweli since then nimekuwa nikipenda sana mambo ya ndege.isitoshe pia hata primary school niliosoma ya nanjara na yeye kasomea hapo back in those days wakati wa ukoloni huyu jamaa ndio key chairman wa shirika la precision air.
Na I hope one day yes nitakutana naye na kama sitobahatika kukutana naye basi ajue tu yeye ndio ameni inspire Sana katika kupambana(still on fight) ndoto za kuja kuwa rubani baadaye (I hope so) na pia naamini nitakuja kupanda props za shirika lake akina atr72 na 42..
Kwa walioishi TARAKEA au usseri, huku hili jina sio geni kwao. Kwa kweli naliombea hili shirika alilolianzisha listawi na hata kuja kuanza kufanya longhaul flight baadaye. Long live PRECISION AIR.
"WE ARE WHY WE FLY". Hii ni moja ya statement yao inayonivutia sana.
Hat off kwa michael shirima mzaliwa wa Rombo Kilimanjaro.