Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,257
- 9,311
Janet dada yake au Janet yupi?Anafanana sana na Janet
Hamna bana mbona kama kasim majaliwaAmefanana sana na Polepole hapo.
Bado ana page IG?Hii picha nimetoka kuiona muda mchache IG kwenye page yake
Nilitaka kuandika kuwa kwa ambao hawajawahi kumuona kenzy ndo nafanana na huyu Jamaa lkn nimeairisha maana Kuna watu washaharibu wanaandika anapua Kama ya ccm.Bata kasi hao..😂Ni kitambo kidogo
Akiwa bado kijana mbichi na anayechipukiaView attachment 1579711
Naona wabobezi washatengeneza sample √
Alikuwa anaabudu ktk Kanisa gani??.
Bruce lee mwenyewe ana account fb mpaka leo picha zake zinatupiwa tu2pac kafa mwaka 1996 na bado ana page IG itakua MJ wa 2009?View attachment 1580848