Nimeiona hivi sasa.
Ila kweli Democrats hawana mtu wa kumshinda Trump. Watatumia hela nyingi kwenye huu uchaguzi.
Atayefuata kujitoa atakuwa Elizabeth Warren
Sent using Jamii Forums mobile app
Dems hawana wagombea wenye ushawishi mkubwa kipindi hiki...Joe Biden yuko very "sloppy" sijui hata kwanini wale wagombea waliojitoa waliamua kumuunga mkono.
..ameokolewa na weusi wa South Carolina vinginevyo hakuna kitu chochote alichofanya ktk kampeni ambacho kinatoa matumaini kuwa ni mgombea mzuri.
..Na Joe Biden akipitishwa na democrats Trump atamshambulia kwa kashfa / rushwa ya mwanae kuajiriwa na kampuni ya gesi ya Ukraine wakati hana utaalamu wowote na kazi hiyo.
Dems hawana wagombea wenye ushawishi mkubwa kipindi hiki.
Bora Mama Clinton au John Kerry wangekuwepo ulingoni angalau wangemtingisha Trump.
Au Sleepy Joe.😀😀😀
Mkatoliki aliyewahi kuukwaa urais alikuwa ni John Kennedy tu na hakumaliza hata muhula sidhani kama kuna mkatoliki mwingine tena.Kwangu nampenda sana trump na namwamini. He is doing great. Naona hawa demos wamekosa cha kusimamia.
Huyo mkatoliki mwenzangu atulie tuu[emoji23][emoji23][emoji119]
Hivi u.s.a na ukatoliki vinashabihiana kweli? Population ya wakatoliki ni ngapi huko?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa "Paid Mourners" kumbe siku hizi wametapakaa hadi huko. It's very strange.Mini Mike kanichekesha sana aisee. Now he’s getting savaged on social media.
View attachment 1377050
Yes. Na mimi najua hivyo2. Si rahisi kwake. Ni kama wanaona wanawatukuza waitaliano hiviMkatoliki aliyewahi kuukwaa urais alikuwa ni John Kennedy tu na hakumaliza hata muhula sidhani kama kuna mkatoliki mwingine tena.
Marekani ni taifa la The Protestants ndio maana fursa ya wakatoliki au jamii ya imani zingine zingine kuupata urais ni finyu sana.