Mianya ya ufisadi ikibanwa CCM itasambaratika kwa kasi.

BURUTA

JF-Expert Member
Apr 27, 2015
611
790
Sote twafahamu kwamba uongozi ndani ya CCM umekuwa ukishamiri kutokana na ufisadi mkubwa na wizi unaovumiliwa na serikali ya chama chao. JPM anavyozidi kuifunga mianya hiyo ndiyo umoja katika uongozi wa chama hicho inavyozidi lupoteana.

Kwa kifupi ufisadi ndiyo umekuwa ukikiunganisha chama.
 
Daaah watu mnawaza mbali....huo ndio ukwel kaka....ulikuwa ukitaka mishe zako ziende powa....biashara zako zinyoke...we pitia pitia ofisi za ccm...ila kwa sasa hii mhhhh sijui
 
Sote twafahamu kwamba uongozi ndani ya CCM umekuwa ukishamiri kutokana na ufisadi mkubwa na wizi unaovumiliwa na serikali ya chama chao. JPM anavyozidi kuifunga mianya hiyo ndiyo umoja katika uongozi wa chama hicho inavyozidi lupoteana.

Kwa kifupi ufisadi ndiyo umekuwa ukikiunganisha chama.
Usisahau na fursa za nchi hii pia. Ili upate kazi ilikua lazima uwe ccm. Sasa kwa mwendo huo nani atajiunga na chama Chao wakati hata ukiwa raia unaweza PATA kazi
 
hodiii. ili ufanikiwe katka mambo yako jiunge na chama cha majambazi. ukijifanya mjuaji wanakukwamisha.
 
Jamani mmefanya utafiti au hisia zenu ndio zinawambia hivyo?ccm ni walewale wawe nahela au hawana na kwa sasa kazi hamna'
 
Chama hakita sambaratika sema tuu, hao mafisadi watahamia upinzani na kununua kila mtu ndani yake
 
watoto wa DJ mbowe mnachekesha sana,viroba na bangi vinawapoteza,tangu lini chanzo cha mapato ccm kikawa ufisadi?
 
Sote twafahamu kwamba uongozi ndani ya CCM umekuwa ukishamiri kutokana na ufisadi mkubwa na wizi unaovumiliwa na serikali ya chama chao. JPM anavyozidi kuifunga mianya hiyo ndiyo umoja katika uongozi wa chama hicho inavyozidi lupoteana.

Kwa kifupi ufisadi ndiyo umekuwa ukikiunganisha chama.
uko juu ya mstari ndio maana mara zote husema huyu mzee alcohol ni msanii tu
 
Nikweli, ufulisadi is one of the uniting forces for ccm. Nguzo nyingine ni vyeo ndani ya ofisi za umma kutumika kama zawadi kwa watendaji wa serikali au raia wanao kiunga mkono Chama
 
Back
Top Bottom