Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,694
- 149,919
Alafu bila aibu watu wanalipana sitting allowance!!Inasikitisha Sana, na Kuna ile nyingine wamewaweka watoto kwenye zizi la ng'ombe wakimsubili mwalimu aje kuwafundisha.
Tatizo si allowance wanazokula, swala la msingi linatokana na kukosa nia kwa waliowengi....kwa hili wapinzani nawatetea, tumekuwa tukishuhudia namna wana ccm kwa umoja wao wanavyopinga hoja za maendeleo ikiwemo za kutatua kero za mfumo wa Elimu. Ccm kama chama tawala ni dhahiri kimeshindwa kutimiza ndoto za wananchi. Hata hivyo tunashukuru dalili zote zinaonesha kinaelekea ukingoniWakati wabunge wanalamba sitting allowace, hii ndio hali ya wananchi wao.
Sometimes inabidi tuweke siasa zetu za uvyama pembeni na hawa wanasiasa wote tuwaweke kwenya kapu moja maana kwenye hili la allowance hawana tofauti
Mmebana watumishi wa umma kila kona ili kubana matumizi ila bila aibu nyie wanasiasa mnalipana sitting allowance na wote mmeridhika huku wananchi wenu hali zao zikiwa duni kiasi hiki!!
Pathetic!
Kwakuwa hapo hakuna mwanao!!Wewe kipimo chako cha maendeleo ni shule 1 tu?.Mbona zipo shule nyingi tu zina majengo mazuri.Umechunguza chanzo cha shule hiyo kubakia hivyo?.No research no right to ...........
Hatujalifikiria hilo mbadala wa ccm legelege.ni ccm imara.Wewe ndiye mbadala wa CCM
Fanya utafiti kwanza.Kwakuwa hapo hakuna mwanao!!
Mbinafsi mkubwa wee!!
Hivi wapinzani ndio wamesababisha mahakama ya mafisafi kukosa watuhumiwa?Tatizo sio ccm wala nini.
Tatizo hakuna chama mbadala.
Vyama vya upinzani vimeendelea kulelewa na ccm.
Havina agenda mbadala inayoweza kueleweka.
Vyama vya upinzani vinsubiri ccm imeguke ndipo vijizatiti.
Mienendo ya vyama hivi inatia mashaka mno.
Viongozi walioko kwenye vyama hivi hawana maono ya mbali, hivyo wanasubiri matukio na yakipita tu basi vinakosa cha kujitetea.
Mfano....Agenda za kifisadi vyama vya upinzani vimekubali tu view vya kifisadi.
Agenda ya uzalendo. Vyama vya upinzani vimekosa uzalendo..kila linalofanywa na serikali liwe jema ama baya vyenyewe havieleweki vizuri viko uande upi.