Miaka inavyokwenda, Congo inapoteza mvuto kimuziki

Mkuu mopao thx kwa info. Hiyo ni point of no return
Yah ndo hivyo kaka! Mharibifu ni Werrason, we angalia show zake nyingi kama unazo cd zake alaf linganisha na kina JB Mpiana, Koffi Olomide, Fally Ipupa, Mbillia Mbeli, Bozi Boziana (bado anapiga muziki), sasa kwa hawa niliowataja huoni mambo ya kipuuzi kama vile kuingia na pikipiki jukwaani, kuchanganya changanya beats, wanamuziki kurukaruka kama vile fujo fujo, kuongozwa na wapambe kuwahadaa mashabiki vitu ambavyo Werrason anavifanya. Kina JB wanaingia ukumbini straight wanaanza kazi moja kwa moja wakimaliza kazi hao wanaondoka zao. Ila JB siku hizi hana wanamuziki wazuri ingawa bado anapiga vizuri tu, Felix Wazekwa asingekuwa jela angekuwa mfano bora kwa wanamuziki wa Congo maana huoni vitu vya kipumbavu kama vya Werrason. Tatizo ni kwamba hawa wengine walivyoona mashabiki wanashangilia na kukuvululushwa na bendi ya Werrason jukwaani ndpo wakaona ala na sisi tunaweza tukafanya kama werrason kwa kuchanganya beats papapa vuvu liii chacha cha popo bububuf chaaaaa washabiki yeeeee sasa Koffi mwenyewe anaona huo ni usenge! Huoni vitu hivyo kwake (Koffi). Kwa mtindo huo unaharibu ladha za miziki ya Congo.
 
Kuna kiota fulani huwa na chill hapo. Sasa huwa wanapenda kupiga live za kofi na werrason. Watu hupenda kuona makeke ya wanamuziki wa werason. Lakini wanapenda pia kumcheki kofi na vitu vyake. Ukirudi kwenye audio utakuta watu wanashek bila kupenda wakimsikia fally. Wakiondoka fally na kofi basi congo chali. Kingine ninachomkubali fally huwezi gundua katoka kwa kofi. Ana ladha yake tofauti. Nadhani hata kofi anamsifu na kumhofia kimoyomoyo
 
Yah ndo hivyo kaka! Mharibifu ni Werrason, we angalia show zake nyingi kama unazo cd zake alaf linganisha na kina JB Mpiana, Koffi Olomide, Fally Ipupa, Mbillia Mbeli, Bozi Boziana (bado anapiga muziki), sasa kwa hawa niliowataja huoni mambo ya kipuuzi kama vile kuingia na pikipiki jukwaani, kuchanganya changanya beats, wanamuziki kurukaruka kama vile fujo fujo, kuongozwa na wapambe kuwahadaa mashabiki vitu ambavyo Werrason anavifanya. Kina JB wanaingia ukumbini straight wanaanza kazi moja kwa moja wakimaliza kazi hao wanaondoka zao. Ila JB siku hizi hana wanamuziki wazuri ingawa bado anapiga vizuri tu, Felix Wazekwa asingekuwa jela angekuwa mfano bora kwa wanamuziki wa Congo maana huoni vitu vya kipumbavu kama vya Werrason. Tatizo ni kwamba hawa wengine walivyoona mashabiki wanashangilia na kukuvululushwa na bendi ya Werrason jukwaani ndpo wakaona ala na sisi tunaweza tukafanya kama werrason kwa kuchanganya beats papapa vuvu liii chacha cha popo bububuf chaaaaa washabiki yeeeee sasa Koffi mwenyewe anaona huo ni usenge! Huoni vitu hivyo kwake (Koffi). Kwa mtindo huo unaharibu ladha za miziki ya Congo.

Ndiyo maana hata wanamuziki wetu hapa Bongo wamepotea!
Mwangalie Msafiri Diouf na wenzake wengi wanavyorukaruka
kama Werrason. Nimekusoma mkuu
 
Ndiyo maana hata wanamuziki wetu hapa Bongo wamepotea!Mwangalie Msafiri Diouf na wenzake wengi wanavyorukarukakama Werrason. Nimekusoma mkuu
Umeona eeh! Werrason angekuwa mtulivu walahi miziki isingeharibika kabisa au kuanza kupotea katika ramani!
 
Naomba nikuulize swali moja la kizushi, vp una asili ya Kongo nini? Maana unaonekana kuyajua mambo haya
kiundani sana! Big up...
 
Alaf kitu kingine ni kuhusu mapromota, kabla ya kung'olewa kwa Mobutu Sese Seko, kulikuwa na mtoto wake alikuwa na pesa kipindi hicho (Jina la huyo mtoto wa Mobutu limenitoka kidogo), huyo Mobutu mtoto alikuwa anawapromote sana wanamuziki wa Congo kiasi kwamba bendi nyingi za Kicongo zilikuwa zinafahamika sana na miziki yao ilikuwa mitamu sana maana walikuwa wanapata pesa nzuri za kutoka kutoka kwa huyo toto Mobutu, sasa Kabila Senior (Laurent Kabila) alivyomng'oa Mobutu basi kila kitu kikasambaratika, ikawa mwisho kwa huyo mtoto wa Mobutu kupromote Muziki wa Kicongo. Kulikuwepo na Mapromota wengine lkn hawakuwa na ile influencial power kama ya mtoto wa Mobutu! Ni hayo tu!
 
Naomba nikuulize swali moja la kizushi, vp una asili ya Kongo nini? Maana unaonekana kuyajua mambo hayakiundani sana! Big up...
Mimi ni Mtanzania kabisaaa, ila Miziki ya Congo nayafuatilia sana sana sana! Walioniambukiza ni Mapacha wa Tancut almasi Kasalo Kyanga na Kyanga Songa, alaf kuna mwanamuziki mmoja sikumbuki vizuri jina niliupenda sana utotoni wimbo ulikuwa unaimbwa "Monica eeee eeeee eeee Monica eeee eeeee eeee" na mwisho Pepe Kalle kaupigilia msumari kabisa maana kwa maana a kwanza kumwona yeye kwenye VHS lipiga pale Diamond mwaka 1990, Warioba kipindi hicho alikuwa Waziri Mkuu, tokea hapo basi wakongo wakafanikiwa kunikamata!
 
Alaf kitu kingine ni kuhusu mapromota, kabla ya kung'olewa kwa Mobutu Sese Seko, kulikuwa na mtoto wake alikuwa na pesa kipindi hicho (Jina la huyo mtoto wa Mobutu limenitoka kidogo), huyo Mobutu mtoto alikuwa anawapromote sana wanamuziki wa Congo kiasi kwamba bendi nyingi za Kicongo zilikuwa zinafahamika sana na miziki yao ilikuwa mitamu sana maana walikuwa wanapata pesa nzuri za kutoka kutoka kwa huyo toto Mobutu, sasa Kabila Senior (Laurent Kabila) alivyomng'oa Mobutu basi kila kitu kikasambaratika, ikawa mwisho kwa huyo mtoto wa Mobutu kupromote Muziki wa Kicongo. Kulikuwepo na Mapromota wengine lkn hawakuwa na ile influencial power kama ya mtoto wa Mobutu! Ni hayo tu!
sasa hapo nadhani ndo umegonga ikulu. Enzi za mobutu, wanamuziki walivuma sana. Sasa tokea mapinduzi na vita vianze ndo imekuwa nongwa. Na huyo promota unayemdhani atakuwa ni Jose Kongolo. Huwa wanamtaja sana kwenye nyimbo. Nadhani huyu ndiye aliyekuwa mhimili wa bolingo
 
Ok! Ndo huyo huyo na kuna wengine wawili!! Bahati mbaya majina yao siyafuatilii sana.
 
Back
Top Bottom