Good People
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 945
- 1,819
Hakika hadi sasa Daudi Albert Bashite hawezi kutumbuliwa kitu ambacho kinauma sana pia nawashukuru Wabunge Wa CCM wanaozidi kutoa matamko mathalani Lazaro Nyarandu na Mwigulu Nchemba.
Ila Ninavyojua Mimi CCM wana mazoea yao kabla ya kukaa Dodoma huwa kunafanyika Kikao ambao mwenyekiti huwaambia waziwazi kuwa ukipingana na Mijadala utafukuzwa chama na Ukifukuzwa chama ubunge Unakua Umeupoteza tena afadhali waliokua wamepambana majimboni Wabunge wa Viti maalumu ni waoga zaidi.
Mimi Suala la Bashite linanikera sana adha ninayoipata haina tofauti na ile walioipata mababu zetu wakati wa kudai Uhuru mtu aliyevamia Kituo cha redio na Camera za Ulinzi na Usalama ambazo ziko hadi Ikulu tunaambiwa ni Udaku.