Bibie kisukari Unazionaje Dawa zangu bibie? Zinatisha au vipi? Dawa zangu ninazozitowa zipo kwenye Vitabu vya kale vya miaka 1500 iliyopita Dawa zangu huwezi kuzipata katika vitabu vya kisasa ni Tiba Mbadala asilia bibie Dawa zangu zisikuache Hoi hakuna mwenye kuzijuwa hizi Dawa ila ni mimi Mwenyewe ukiweza jaribu kisha utanipa wewe mwenyewe Feedback.
Mkuu La Cosa Mia Na wewe utoe ushauri wako sio kusema tu ukinywa maji tu ndio kwa asilimia 80% mtoto wake atapona toa ushauri wa dawa sio kupinga wenzio samahani kama nitakukwaza