Miaka 19 kwa 30 inafaa?

kwa sasa ni poa... later on yy akiwahi kuzeeka ndo utajua kwamba maamuz yangu ya awali ni sawa au la..... anyway siku hiz tunakufa tu hatuzeeki.... grab that opportunity.....
 
Hello wana-JF miaka 30 mwanamke na 19 mwanaume inasound vp kwenye kuwa na mahusiano na hatimaye ndoa.

They are real in love.

Naombeni mawazo yenu katika hili.

Mim sion tatzo kbs kuwa na mahusiano ila hapo kwenye ndoa nina doubt kidog...
Mwanzon wa ndoa mapenz yanaeza yakawa matamu kama asal but kadr muda unavyozid enda mwanaume anajiona damu iko vzr lakin mkewe menopause imefika anakuwa kama mzg tu hy range ni kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…