Miaka 19 kwa 30 inafaa?

ELVISLILY

Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
55
Reaction score
24
Hello wana-JF miaka 30 mwanamke na 19 mwanaume inasound vp kwenye kuwa na mahusiano na hatimaye ndoa.

They are real in love.

Naombeni mawazo yenu katika hili.
 
ina sound poa tu!nani alikwambia mapenzi yanachagua...
 
Hello wana-JF miaka 30 mwanamke na 19 mwanaume inasound vp kwny kuwa na mahusiano na hatimaye ndoa.They are real in love.Mnisaidie mawazo.

tatizo ndoa za kiafrika zina mambo mengi... mwanamke angekuwa na 19 isingekuwa shida lakini kwa huo umri kasheshe lazima litokee kwa ndugu na jamaa.
 
Reactions: BAK
Nakubaliana nawe Mkuu MEANDU umri huo ungekuwa ni vice versa basi kungekuwa hakuna tatizo lakini kwa njemba wa umri huo kuingia kwenye ndoa uwezekano wa kuwepo na mtafaruku ni mkubwa sana.

tatizo ndoa za kiafrika zina mambo mengi... mwanamke angekuwa na 19 isingekuwa shida lakini kwa huo umri kasheshe lazima litokee kwa ndugu na jamaa.
 
Last edited by a moderator:
Hello wana-JF miaka 30 mwanamke na 19 mwanaume inasound vp kwny kuwa na mahusiano na hatimaye ndoa.They are real in love.Mnisaidie mawazo.

Nakuhurumia utakapokuja kujuwa umuhimu wa shule utaujutia sana huu utoto unaokupumbaza akili sasa hivi na utakuwa umeshachelewa.

Nilitegemea mtoto kama wewe uwe jukwaa la elimu unafuatilia majina kutoka TCU.

Tunawasomesha kwa shida na tunajinyima mengi matokeo yake amnatudisapoint kiasi hiki.
 
Hata mainjinia waliobuni differential gear kwenye engine wangekosea tu calculations gear zisingesukuma chombo,hiyo variation ni kubwa sana atakuita baba mdogo sio siku nyingi,hata kama wanasema 'let love lead'
 
sasa tukusaidie mawazo wewe ni dalali wao ama?
 
Heee....Huo umri si utakuwa unamwamkia shikamoo mama...Na ukikosea anakuchapa viboko..! Aah..Mwanaume akikuzidi umri ni raha saana..!
 

Shule watu wanakimbilia ili wapate fursa nzuri za kimaisha,mbona hd wazee miaka 50 na zaidi wanasoma!Shule inaendelea na kipato kinaruhusu thats Y nimekuja upande huu wa maisha.Ww ulikuwa unasoma asbh hd asbh next day?Miaka 19 unaona bado mtt,na under 18 utawaitaje?Nasoma na ada najilipia mwnyw na mahusiano nahitaj kuyajenga vilevile!
 
Nakubaliana nawe Mkuu MEANDU umri huo ungekuwa ni vice versa basi kungekuwa hakuna tatizo lakini kwa njemba wa umri huo kuingia kwenye ndoa uwezekano wa kuwepo na mtafaruku ni mkubwa sana.

hii kweli maana kwa umri huo kama unasoma shule bado hata hujaenda cho au ndiyo kwanza upo mwaka wa pili chuo. Kama ni kazi basi itakuwa ya kujiajiri. Labda mleta mada angetuambia ni yeye alimtafuta huyo mwanamke au ndiyo mwanamke kamtafuta?
 
Reactions: BAK
Dada acha kumuharibu huyo mtoto kijana! Mwache akue apate size yake!

Kwani wa umri wako hujawaona?

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 

Sawa kijana mimi sina mengi, wewe umeshakuwa mtu mzima na umeshakutana na mitihani mingi ya maisha na umeshakomaa, not that asiyefunzwa na Mamaye..............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…