1kush africa JF-Expert Member Joined Dec 13, 2016 Posts 9,969 Reaction score 13,848 Oct 9, 2018 #141 Hajar said: Nimeamini aiseee. Click to expand... Ukiona sipo humu, ujue niko zangu kwa mzee mabruk napata kahawa,,, ama nipo zangu HOrohoro
Hajar said: Nimeamini aiseee. Click to expand... Ukiona sipo humu, ujue niko zangu kwa mzee mabruk napata kahawa,,, ama nipo zangu HOrohoro
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,054 Reaction score 463,971 Oct 9, 2018 #142 mtu chake said: Nakujaje na ushafunga ? Na Pili PM hapana ,halafu nasikia zinalipiwa PM za wadada JF ,Hahahaha bila laki hamjibu π π Click to expand... Mh
mtu chake said: Nakujaje na ushafunga ? Na Pili PM hapana ,halafu nasikia zinalipiwa PM za wadada JF ,Hahahaha bila laki hamjibu π π Click to expand... Mh
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,095 Reaction score 122,457 Oct 9, 2018 #143 mtu chake said: Nakujaje na ushafunga ? Na Pili PM hapana ,halafu nasikia zinalipiwa PM za wadada JF ,Hahahaha bila laki hamjibu π π Click to expand... Hahahaaa. Nimeifunga muda mrefu sana. Hata sijui kwa kweli. Ila Mtani wenyewe wanatuona Mtani tusije kula Ban hapaππππ
mtu chake said: Nakujaje na ushafunga ? Na Pili PM hapana ,halafu nasikia zinalipiwa PM za wadada JF ,Hahahaha bila laki hamjibu π π Click to expand... Hahahaaa. Nimeifunga muda mrefu sana. Hata sijui kwa kweli. Ila Mtani wenyewe wanatuona Mtani tusije kula Ban hapaππππ
Inferior Complex JF-Expert Member Joined Oct 17, 2014 Posts 3,655 Reaction score 5,033 Oct 9, 2018 #144 Ben Mugashe said: Leo nimefikisha miaka 10 kuwa hapa jukwaani. Niwapongeze Viongozi wa JF kwa kusimamia vizuri mijadala. Niwakaribishe wageni wote tuendelee kuhabarishana bila kukashfiana. ....Miaka 10 bila kupigwa BAN..... Click to expand... miaka 10 jukwaani na like 95
Ben Mugashe said: Leo nimefikisha miaka 10 kuwa hapa jukwaani. Niwapongeze Viongozi wa JF kwa kusimamia vizuri mijadala. Niwakaribishe wageni wote tuendelee kuhabarishana bila kukashfiana. ....Miaka 10 bila kupigwa BAN..... Click to expand... miaka 10 jukwaani na like 95
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,095 Reaction score 122,457 Oct 9, 2018 #145 Mpekuzi17 said: Nice hear from you, Lunch umepata? au bado unakomaa na kazi za Mkoloni(mwajiri)ππππ Click to expand... Nimepata toka mchana ulivyoingia aisee. Hahahaaa. Uzuri kazi haziishagi ujue.
Mpekuzi17 said: Nice hear from you, Lunch umepata? au bado unakomaa na kazi za Mkoloni(mwajiri)ππππ Click to expand... Nimepata toka mchana ulivyoingia aisee. Hahahaaa. Uzuri kazi haziishagi ujue.
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,242 Reaction score 90,420 Oct 9, 2018 #146 Hajar said: Hahahaaa. Nimeifunga muda mrefu sana. Hata sijui kwa kweli. Ila Mtani wenyewe wanatuona Mtani tusije kula Ban hapa Click to expand... Niko Mzee mwenzao hkn ban ,Ben Mugashe mwenyewe SAA hz anapiga kilaji
Hajar said: Hahahaaa. Nimeifunga muda mrefu sana. Hata sijui kwa kweli. Ila Mtani wenyewe wanatuona Mtani tusije kula Ban hapa Click to expand... Niko Mzee mwenzao hkn ban ,Ben Mugashe mwenyewe SAA hz anapiga kilaji
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,242 Reaction score 90,420 Oct 9, 2018 #147 Shunie said: Mh Click to expand... Mbn unaguna Rafiki, hii nimechomekea tu Rafiki
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,095 Reaction score 122,457 Oct 9, 2018 #148 mtu chake said: Niko Mzee mwenzao hkn ban ,Ben Mugashe mwenyewe SAA hz anapiga kilaji Click to expand... πππ eti eeee
mtu chake said: Niko Mzee mwenzao hkn ban ,Ben Mugashe mwenyewe SAA hz anapiga kilaji Click to expand... πππ eti eeee
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,095 Reaction score 122,457 Oct 9, 2018 #149 1kush africa said: Ukiona sipo humu, ujue niko zangu kwa mzee mabruk napata kahawa,,, ama nipo zangu HOrohoro Click to expand... ππππ
1kush africa said: Ukiona sipo humu, ujue niko zangu kwa mzee mabruk napata kahawa,,, ama nipo zangu HOrohoro Click to expand... ππππ
Mpekuzi17 JF-Expert Member Joined Mar 21, 2017 Posts 445 Reaction score 396 Oct 9, 2018 #150 Hajar said: Nimepata toka mchana ulivyoingia aisee. Hahahaaa. Uzuri kazi haziishagi ujue. Click to expand... Hapo Afadhari KWELI KABISAAA MKUU
Hajar said: Nimepata toka mchana ulivyoingia aisee. Hahahaaa. Uzuri kazi haziishagi ujue. Click to expand... Hapo Afadhari KWELI KABISAAA MKUU
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,242 Reaction score 90,420 Oct 9, 2018 #151 Hajar said: eti eeee Click to expand... Hahahaha
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,095 Reaction score 122,457 Oct 9, 2018 #152 Mpekuzi17 said: Hapo Afadhari KWELI KABISAAA MKUU Click to expand... Yaani huwa tunazipunguza maana zingekuwa zinaisha kabisa tungekuwa mikoani huko tunalima korosho. ππππ
Mpekuzi17 said: Hapo Afadhari KWELI KABISAAA MKUU Click to expand... Yaani huwa tunazipunguza maana zingekuwa zinaisha kabisa tungekuwa mikoani huko tunalima korosho. ππππ
C Ctech JF-Expert Member Joined Nov 21, 2010 Posts 763 Reaction score 829 Oct 9, 2018 #153 Nov 21 Nami nitakuwa na Miaka 10 Jukwaani!
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,334 Reaction score 23,940 Oct 9, 2018 #154 Ben Mugashe said: Leo nimefikisha miaka 10 kuwa hapa jukwaani. Niwapongeze Viongozi wa JF kwa kusimamia vizuri mijadala. Niwakaribishe wageni wote tuendelee kuhabarishana bila kukashfiana. ....Miaka 10 bila kupigwa BAN..... Click to expand... Hongera pacha..nami baada ya siku nne nitatimiza miaka 10 kwa ID hii. Cc: Maxence Melo - naomba keki.
Ben Mugashe said: Leo nimefikisha miaka 10 kuwa hapa jukwaani. Niwapongeze Viongozi wa JF kwa kusimamia vizuri mijadala. Niwakaribishe wageni wote tuendelee kuhabarishana bila kukashfiana. ....Miaka 10 bila kupigwa BAN..... Click to expand... Hongera pacha..nami baada ya siku nne nitatimiza miaka 10 kwa ID hii. Cc: Maxence Melo - naomba keki.
Mpekuzi17 JF-Expert Member Joined Mar 21, 2017 Posts 445 Reaction score 396 Oct 9, 2018 #155 Hajar said: Yaani huwa tunazipunguza maana zingekuwa zinaisha kabisa tungekuwa mikoani huko tunalima korosho. ππππ Click to expand... Ha ha ha haaaaaaaaaaaaa Nimeipenda hiyooo Mkuu. Haya poaa tuendelee kuzipunguza kabla ya muda wa kurudi makwetu
Hajar said: Yaani huwa tunazipunguza maana zingekuwa zinaisha kabisa tungekuwa mikoani huko tunalima korosho. ππππ Click to expand... Ha ha ha haaaaaaaaaaaaa Nimeipenda hiyooo Mkuu. Haya poaa tuendelee kuzipunguza kabla ya muda wa kurudi makwetu
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,095 Reaction score 122,457 Oct 9, 2018 #156 Mpekuzi17 said: Ha ha ha haaaaaaaaaaaaa Nimeipenda hiyooo Mkuu. Haya poaa tuendelee kuzipunguza kabla ya muda wa kurudi makwetu Click to expand... Hahaaaa. Usijali Mkuu. Have a good time. πππ
Mpekuzi17 said: Ha ha ha haaaaaaaaaaaaa Nimeipenda hiyooo Mkuu. Haya poaa tuendelee kuzipunguza kabla ya muda wa kurudi makwetu Click to expand... Hahaaaa. Usijali Mkuu. Have a good time. πππ
Mpekuzi17 JF-Expert Member Joined Mar 21, 2017 Posts 445 Reaction score 396 Oct 9, 2018 #157 Hajar said: Hahaaaa. Usijali Mkuu. Have a good time. πππ Click to expand... Thankx Mkuu da same to youπ
Hajar said: Hahaaaa. Usijali Mkuu. Have a good time. πππ Click to expand... Thankx Mkuu da same to youπ
Steven Robert Masatu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2009 Posts 2,458 Reaction score 1,826 Oct 9, 2018 #158 Mentor said: Hongera pacha..nami baada ya siku nne nitatimiza miaka 10 kwa ID hii. Cc: Maxence Melo - naomba keki. Click to expand... Tayari Kabazazi kadogo kashafika. Walahi huu Uzi umgelipita bila kukuona kumpa kampani Kaka ako ningeleft humu jumal. Mkuu upo salama lakini!?
Mentor said: Hongera pacha..nami baada ya siku nne nitatimiza miaka 10 kwa ID hii. Cc: Maxence Melo - naomba keki. Click to expand... Tayari Kabazazi kadogo kashafika. Walahi huu Uzi umgelipita bila kukuona kumpa kampani Kaka ako ningeleft humu jumal. Mkuu upo salama lakini!?
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,242 Reaction score 90,420 Oct 9, 2018 #159 Steven Robert Masatu said: Tayari Kabazazi kadogo kashafika. Walahi huu Uzi umgelipita bila kukuona kumpa kampani Kaka ako ningeleft humu jumal. Mkuu upo salama lakini!? Click to expand... Hahahaha, list inaanza kutimia maramamae
Steven Robert Masatu said: Tayari Kabazazi kadogo kashafika. Walahi huu Uzi umgelipita bila kukuona kumpa kampani Kaka ako ningeleft humu jumal. Mkuu upo salama lakini!? Click to expand... Hahahaha, list inaanza kutimia maramamae
Ben Mugashe JF-Expert Member Joined Oct 9, 2008 Posts 999 Reaction score 618 Oct 9, 2018 Thread starter #160 Mentor said: Hongera pacha..nami baada ya siku nne nitatimiza miaka 10 kwa ID hii. Cc: Maxence Melo - naomba keki. Click to expand... Ahaha Vice Chairman wa Mabazaz uko? Ww ndo bingwa wa Keki
Mentor said: Hongera pacha..nami baada ya siku nne nitatimiza miaka 10 kwa ID hii. Cc: Maxence Melo - naomba keki. Click to expand... Ahaha Vice Chairman wa Mabazaz uko? Ww ndo bingwa wa Keki