Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,054 Reaction score 463,971 Oct 9, 2018 #121 Hajar said: lol. Kwa kweeeli (kwa sauti ya joti) Dada Click to expand... Siunajua dada akee kumjibu mtu pm sio lazima kabisa
Hajar said: lol. Kwa kweeeli (kwa sauti ya joti) Dada Click to expand... Siunajua dada akee kumjibu mtu pm sio lazima kabisa
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,054 Reaction score 463,971 Oct 9, 2018 #122 mtu chake said: Hahahaha, hapo ni sawa na kufunga tu Click to expand... Hahhahaha lakini ipo wazi
1kush africa JF-Expert Member Joined Dec 13, 2016 Posts 9,969 Reaction score 13,848 Oct 9, 2018 #123 Hajar said: Hahahaaa. Lol. Mzima lakini kaka? Anayekuficha Mungu anamuona aisee Click to expand... Dada sina kabisa ,,, labda nikukabidhi unitafutie chombo
Hajar said: Hahahaaa. Lol. Mzima lakini kaka? Anayekuficha Mungu anamuona aisee Click to expand... Dada sina kabisa ,,, labda nikukabidhi unitafutie chombo
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,242 Reaction score 90,420 Oct 9, 2018 #124 Shunie said: Siunajua dada akee kumjibu mtu pm sio lazima kabisa Click to expand... Hahahaha, asee ndio maana naziogopa hz PM
Shunie said: Siunajua dada akee kumjibu mtu pm sio lazima kabisa Click to expand... Hahahaha, asee ndio maana naziogopa hz PM
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,096 Reaction score 122,459 Oct 9, 2018 #125 Shunie said: Siunajua dada akee kumjibu mtu pm sio lazima kabisa Click to expand... Kabisaaa. Sio lazima Dada. Japokuwa kuna wale wa kuzoweana nao majukwaani saa nyingine waeza shindwa mkalia kimya ujue.
Shunie said: Siunajua dada akee kumjibu mtu pm sio lazima kabisa Click to expand... Kabisaaa. Sio lazima Dada. Japokuwa kuna wale wa kuzoweana nao majukwaani saa nyingine waeza shindwa mkalia kimya ujue.
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,242 Reaction score 90,420 Oct 9, 2018 #126 Shunie said: Hahhahaha lakini ipo wazi Click to expand... Km huwajibu vijana,haina haja Mkuu
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,242 Reaction score 90,420 Oct 9, 2018 #127 Hajar said: Kabisaaa. Sio lazima Dada. Japokuwa kuna wale wa kuzoweana nao majukwaani saa nyingine waeza shindwa mkalia kimya ujue. Click to expand... Hahaha
Hajar said: Kabisaaa. Sio lazima Dada. Japokuwa kuna wale wa kuzoweana nao majukwaani saa nyingine waeza shindwa mkalia kimya ujue. Click to expand... Hahaha
Mpekuzi17 JF-Expert Member Joined Mar 21, 2017 Posts 445 Reaction score 396 Oct 9, 2018 #128 Hajar said: Duuh! Yabidi ndugu japo safari ni ndefu pia. Amiin. ππ Uko poa? Click to expand... Yaap niko poaaa Mkuu, sijui kwako?
Hajar said: Duuh! Yabidi ndugu japo safari ni ndefu pia. Amiin. ππ Uko poa? Click to expand... Yaap niko poaaa Mkuu, sijui kwako?
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,096 Reaction score 122,459 Oct 9, 2018 #129 mtu chake said: Hahahaha, asee ndio maana naziogopa hz PM Click to expand... Hahahaaa. Mie pia ndio maana nikafunga sababu kama wewe Mtani nilivyokuzowea ukija huko chumbani kwanza nafsi itanisuta kukaa kimya aiseee.
mtu chake said: Hahahaha, asee ndio maana naziogopa hz PM Click to expand... Hahahaaa. Mie pia ndio maana nikafunga sababu kama wewe Mtani nilivyokuzowea ukija huko chumbani kwanza nafsi itanisuta kukaa kimya aiseee.
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,096 Reaction score 122,459 Oct 9, 2018 #130 1kush africa said: Dada sina kabisa ,,, labda nikukabidhi unitafutie chombo Click to expand... Duuh! Kaka huwa hiyo kazi sijawahi iweza ujue. Wacha uvivu tafuta kaka utapata.
1kush africa said: Dada sina kabisa ,,, labda nikukabidhi unitafutie chombo Click to expand... Duuh! Kaka huwa hiyo kazi sijawahi iweza ujue. Wacha uvivu tafuta kaka utapata.
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,096 Reaction score 122,459 Oct 9, 2018 #131 Mpekuzi17 said: Yaap niko poaaa Mkuu, sijui kwako? Click to expand... Huku shwaaari kabisa.
1kush africa JF-Expert Member Joined Dec 13, 2016 Posts 9,969 Reaction score 13,848 Oct 9, 2018 #132 Hajar said: Duuh! Kaka huwa hiyo kazi sijawahi iweza ujue. Wacha uvivu tafuta kaka utapata. Click to expand... Umeamini sina wa kunifungia ndani!
Hajar said: Duuh! Kaka huwa hiyo kazi sijawahi iweza ujue. Wacha uvivu tafuta kaka utapata. Click to expand... Umeamini sina wa kunifungia ndani!
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,242 Reaction score 90,420 Oct 9, 2018 #133 Hajar said: Hahahaaa. Mie pia ndio maana nikafunga sababu kama wewe Mtani nilivyokuzowea ukija huko chumbani kwanza nafsi itanisuta kukaa kimya aiseee. Click to expand... Nakujaje na ushafunga ? Na Pili PM hapana ,halafu nasikia zinalipiwa PM za wadada JF ,Hahahaha bila laki hamjibu π π
Hajar said: Hahahaaa. Mie pia ndio maana nikafunga sababu kama wewe Mtani nilivyokuzowea ukija huko chumbani kwanza nafsi itanisuta kukaa kimya aiseee. Click to expand... Nakujaje na ushafunga ? Na Pili PM hapana ,halafu nasikia zinalipiwa PM za wadada JF ,Hahahaha bila laki hamjibu π π
1kush africa JF-Expert Member Joined Dec 13, 2016 Posts 9,969 Reaction score 13,848 Oct 9, 2018 #134 Shunie said: Hahhahaha lakini ipo wazi Click to expand... Nywila
1kush africa JF-Expert Member Joined Dec 13, 2016 Posts 9,969 Reaction score 13,848 Oct 9, 2018 #135 mtu chake said: Nakujaje na ushafunga ? Na Pili PM hapana ,halafu nasikia zinalipiwa PM za wadada JF ,Hahahaha bila laki hamjibu π π Click to expand... Mkuu we tuma laki hiyo,, hahaha
mtu chake said: Nakujaje na ushafunga ? Na Pili PM hapana ,halafu nasikia zinalipiwa PM za wadada JF ,Hahahaha bila laki hamjibu π π Click to expand... Mkuu we tuma laki hiyo,, hahaha
Mpekuzi17 JF-Expert Member Joined Mar 21, 2017 Posts 445 Reaction score 396 Oct 9, 2018 #136 Hajar said: Huku shwaaari kabisa. Click to expand... Nice hear from you, Lunch umepata? au bado unakomaa na kazi za Mkoloni(mwajiri)ππππ
Hajar said: Huku shwaaari kabisa. Click to expand... Nice hear from you, Lunch umepata? au bado unakomaa na kazi za Mkoloni(mwajiri)ππππ
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,096 Reaction score 122,459 Oct 9, 2018 #137 1kush africa said: Umeamini sina wa kunifungia ndani! Click to expand... πππ Nimeamini aiseee kaka
1kush africa said: Umeamini sina wa kunifungia ndani! Click to expand... πππ Nimeamini aiseee kaka
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,054 Reaction score 463,971 Oct 9, 2018 #138 mtu chake said: Hahahaha, asee ndio maana naziogopa hz PM Click to expand... Hahaha Ziogope hivyohivyo
mtu chake said: Hahahaha, asee ndio maana naziogopa hz PM Click to expand... Hahaha Ziogope hivyohivyo
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,242 Reaction score 90,420 Oct 9, 2018 #139 1kush africa said: Mkuu we tuma laki hiyo,, hahaha Click to expand... Hahahaha Mkuu hata km ninayo si kwa style hiyo
1kush africa said: Mkuu we tuma laki hiyo,, hahaha Click to expand... Hahahaha Mkuu hata km ninayo si kwa style hiyo
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,054 Reaction score 463,971 Oct 9, 2018 #140 Hajar said: Kabisaaa. Sio lazima Dada. Japokuwa kuna wale wa kuzoweana nao majukwaani saa nyingine waeza shindwa mkalia kimya ujue. Click to expand... Hao sawa utawajibu lakini wasiwe wasumbufu wa kila mda kukupm yaan mm ni mvivu kujibu jibu
Hajar said: Kabisaaa. Sio lazima Dada. Japokuwa kuna wale wa kuzoweana nao majukwaani saa nyingine waeza shindwa mkalia kimya ujue. Click to expand... Hao sawa utawajibu lakini wasiwe wasumbufu wa kila mda kukupm yaan mm ni mvivu kujibu jibu