Kasoro Chairman na Katibu ndo bado hawajaibuka.
Hili liweka hazina la Mabazazi tunahasira nalo kinoma. Leo limeamua kuibuka hapa JF baada ya kusepa na mdudu wa mtu miezi miwili, limemfungia Namnani huko. Falasi sana hili jamaaa lako