Miaka 10 sasa jukwaani

Hahahaaaa. Hapana jamaani kwanza leo ndio naiona hiyo Id yake hivyo wala msijali Babu zangu.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila mnavyomsema Babu mwenzenu Duuh hata hamumfichii siri.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Cc. Asprin
 
Asipotusikia asitulaumu. Sisi tushatimiza wajibu wetu kama wazee wa kanisa
 
AMU mweeeeeee basi basi nilikuwa natania..japo nina picha zako na Madam pia sijui niziupload hapa? Ngoja KakaKiza aje anishauri
Hahahahhahahahahhahah

Sasa ndo unataka kujiharibia kabisaa kwa Hajar . Ukimwaga Ugalia me namwaga mboga na maji ya kunawia kabisaa.
Nitataja hadi rangi ya GAGULO alilokuwa amevaaa siku hiyo. Chezea wapiga chabo wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…