Mkushi Da Gama JF-Expert Member Joined Jun 23, 2015 Posts 3,692 Reaction score 4,995 Oct 11, 2018 #341 Miaka10 ndan Ya Jf umefanya nn
Ben Mugashe JF-Expert Member Joined Oct 9, 2008 Posts 999 Reaction score 618 Oct 11, 2018 Thread starter #342 Mentor said: Uanachama wa nini? Mimi ni mwenyekiti wa nini? Au anataka kuja jumuiya? Click to expand... Ngoja waje wanachama wenzio mie nilishazeeka nikawaachia chama natumika na Mdogo wangu Nicas Mtei
Mentor said: Uanachama wa nini? Mimi ni mwenyekiti wa nini? Au anataka kuja jumuiya? Click to expand... Ngoja waje wanachama wenzio mie nilishazeeka nikawaachia chama natumika na Mdogo wangu Nicas Mtei
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,334 Reaction score 23,940 Oct 11, 2018 #343 Ben Mugashe said: Ngoja waje wanachama wenzio mie nilishazeeka nikawaachia chama natumika na Mdogo wangu Nicas Mtei Click to expand... Mnatumika kigango kipi? Mimi nilihama parokia ya Kigamboni kwa sasa nahudumu parokia ya Sinza huku kuna wapotevu wengi!
Ben Mugashe said: Ngoja waje wanachama wenzio mie nilishazeeka nikawaachia chama natumika na Mdogo wangu Nicas Mtei Click to expand... Mnatumika kigango kipi? Mimi nilihama parokia ya Kigamboni kwa sasa nahudumu parokia ya Sinza huku kuna wapotevu wengi!
Ben Mugashe JF-Expert Member Joined Oct 9, 2008 Posts 999 Reaction score 618 Oct 11, 2018 Thread starter #344 Mentor said: Mnatumika kigango kipi? Mimi nilihama parokia ya Kigamboni kwa sasa nahudumu parokia ya Sinza huku kuna wapotevu wengi! Click to expand... Rudisha kondoo wa Bwana Kundini.. itapendeza kama tutaharikwa mimi na watumishi wenzangu tuje kusambaza upako
Mentor said: Mnatumika kigango kipi? Mimi nilihama parokia ya Kigamboni kwa sasa nahudumu parokia ya Sinza huku kuna wapotevu wengi! Click to expand... Rudisha kondoo wa Bwana Kundini.. itapendeza kama tutaharikwa mimi na watumishi wenzangu tuje kusambaza upako
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,023 Oct 11, 2018 #345 Mentor said: Naona unanitafutia kunichafulia jina mkuu! Click to expand... Samahani mkuu sio lengo
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,023 Oct 11, 2018 #346 Mentor said: Uanachama wa nini? Mimi ni mwenyekiti wa nini? Au anataka kuja jumuiya? Click to expand... Waambie kabisa hao.. hvyo sio vyeo vyako wanakusingizia
Mentor said: Uanachama wa nini? Mimi ni mwenyekiti wa nini? Au anataka kuja jumuiya? Click to expand... Waambie kabisa hao.. hvyo sio vyeo vyako wanakusingizia