Malaika wa Kifo JF-Expert Member Joined Apr 11, 2012 Posts 4,089 Reaction score 4,723 Oct 9, 2018 #321 Ben Mugashe said: Leo nimefikisha miaka 10 kuwa hapa jukwaani. Niwapongeze Viongozi wa JF kwa kusimamia vizuri mijadala. Niwakaribishe wageni wote tuendelee kuhabarishana bila kukashfiana. ....Miaka 10 bila kupigwa BAN..... Click to expand... Miaka sita bila kupigwa BAN Hebu Moderator nipige BAN kidogo
Ben Mugashe said: Leo nimefikisha miaka 10 kuwa hapa jukwaani. Niwapongeze Viongozi wa JF kwa kusimamia vizuri mijadala. Niwakaribishe wageni wote tuendelee kuhabarishana bila kukashfiana. ....Miaka 10 bila kupigwa BAN..... Click to expand... Miaka sita bila kupigwa BAN Hebu Moderator nipige BAN kidogo
KOKUTONA JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 8,651 Reaction score 6,109 Oct 9, 2018 #322 mtu chake said: Hahahaha, mmetoka kino,mkaenda kigamboni na sasa safari korogwe Click to expand... Habari za Kinshasa mkuu
mtu chake said: Hahahaha, mmetoka kino,mkaenda kigamboni na sasa safari korogwe Click to expand... Habari za Kinshasa mkuu
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,380 Reaction score 88,736 Oct 9, 2018 #323 Mentor said: Nimemuahidi babu kuwa sitomuangusha. Click to expand... Hajaruhusu bado lakini
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,380 Reaction score 88,736 Oct 9, 2018 #324 Ben Mugashe said: Msigua ww mpwa wangu huyu waweza mtunuku kwa niaba Click to expand... Hamna shida. Ngoja nimpatie zawadi yako
Ben Mugashe said: Msigua ww mpwa wangu huyu waweza mtunuku kwa niaba Click to expand... Hamna shida. Ngoja nimpatie zawadi yako
KOKUTONA JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 8,651 Reaction score 6,109 Oct 9, 2018 #325 Ben Mugashe said: Da Koku shikam..ooo Click to expand... Marahabaaa
Ben Mugashe JF-Expert Member Joined Oct 9, 2008 Posts 999 Reaction score 618 Oct 10, 2018 Thread starter #326 KOKUTONA said: Habari za Kinshasa mkuu Click to expand... Huyu Mpwa wake Aspro sahv anachimba madini ameachana na habari za mawinguni radio??
KOKUTONA said: Habari za Kinshasa mkuu Click to expand... Huyu Mpwa wake Aspro sahv anachimba madini ameachana na habari za mawinguni radio??
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 71,988 Reaction score 177,222 Oct 10, 2018 #327 Hongera sana mkuu Cc Smart911
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,334 Reaction score 23,940 Oct 10, 2018 #328 Mzigua90 said: Hajaruhusu bado lakini Click to expand... Cc: Asprin. Mjukuu yuko kibla tayari...hebu toa ridhaa.
Mzigua90 said: Hajaruhusu bado lakini Click to expand... Cc: Asprin. Mjukuu yuko kibla tayari...hebu toa ridhaa.
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,207 Oct 10, 2018 #329 Na daresalama umeishi miaka mingapi ?au we sio mwanaume wa dar?
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,024 Oct 10, 2018 #330 Mentor said: Ewaaa..swali kuntu sana hili! Babu Asprin hebu sema neno mjukuu wako apate kupona. Click to expand... naona Jina la Mentor limetajwa mara nyingi humu 🙂😀
Mentor said: Ewaaa..swali kuntu sana hili! Babu Asprin hebu sema neno mjukuu wako apate kupona. Click to expand... naona Jina la Mentor limetajwa mara nyingi humu 🙂😀
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,024 Oct 10, 2018 #331 Ben Mugashe said: Leo nimefikisha miaka 10 kuwa hapa jukwaani. Niwapongeze Viongozi wa JF kwa kusimamia vizuri mijadala. Niwakaribishe wageni wote tuendelee kuhabarishana bila kukashfiana. ....Miaka 10 bila kupigwa BAN..... Click to expand... mimi mwanzo nishakula sana BAN
Ben Mugashe said: Leo nimefikisha miaka 10 kuwa hapa jukwaani. Niwapongeze Viongozi wa JF kwa kusimamia vizuri mijadala. Niwakaribishe wageni wote tuendelee kuhabarishana bila kukashfiana. ....Miaka 10 bila kupigwa BAN..... Click to expand... mimi mwanzo nishakula sana BAN
Ben Mugashe JF-Expert Member Joined Oct 9, 2008 Posts 999 Reaction score 618 Oct 10, 2018 Thread starter #332 gh hussa said: Na daresalama umeishi miaka mingapi ?au we sio mwanaume wa dar? Click to expand... Mitandao yote imeanzia Dar huko mikoani mmeiga juzi kati ahahahha
gh hussa said: Na daresalama umeishi miaka mingapi ?au we sio mwanaume wa dar? Click to expand... Mitandao yote imeanzia Dar huko mikoani mmeiga juzi kati ahahahha
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,380 Reaction score 88,736 Oct 10, 2018 #333 Mentor said: Cc: Asprin. Mjukuu yuko kibla tayari...hebu toa ridhaa. Click to expand... Hahahahahaaa
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,334 Reaction score 23,940 Oct 10, 2018 #334 KOKUTONA said: Habari za Kinshasa mkuu Click to expand... Dada mkubwa...sabalheri!
ABiClever Junior JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 948 Reaction score 548 Oct 10, 2018 #335 Pamoja mkuu namim nafurahikia miaka mitatu Jf ila nimekupita post 880 ndani ya miaka 3
KOKUTONA JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 8,651 Reaction score 6,109 Oct 10, 2018 #336 Ben Mugashe said: Huyu Mpwa wake Aspro sahv anachimba madini ameachana na habari za mawinguni radio?? Click to expand... Kwa kweli siyo kwa kupotea huko. Naona huko msituni kuna fursa
Ben Mugashe said: Huyu Mpwa wake Aspro sahv anachimba madini ameachana na habari za mawinguni radio?? Click to expand... Kwa kweli siyo kwa kupotea huko. Naona huko msituni kuna fursa
KOKUTONA JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 8,651 Reaction score 6,109 Oct 10, 2018 #337 Mentor said: Dada mkubwa...sabalheri! Click to expand... Sabarnuri
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,334 Reaction score 23,940 Oct 11, 2018 #338 mwekundu said: naona Jina la Mentor limetajwa mara nyingi humu 🙂😀 Click to expand... Naona unanitafutia kunichafulia jina mkuu!
mwekundu said: naona Jina la Mentor limetajwa mara nyingi humu 🙂😀 Click to expand... Naona unanitafutia kunichafulia jina mkuu!
Ben Mugashe JF-Expert Member Joined Oct 9, 2008 Posts 999 Reaction score 618 Oct 11, 2018 Thread starter #339 Mentor said: Naona unanitafutia kunichafulia jina mkuu! Click to expand... Pole Braza Mwenyekiti labda anataka kuomba uanachama
Mentor said: Naona unanitafutia kunichafulia jina mkuu! Click to expand... Pole Braza Mwenyekiti labda anataka kuomba uanachama
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,334 Reaction score 23,940 Oct 11, 2018 #340 Ben Mugashe said: Pole Braza Mwenyekiti labda anataka kuomba uanachama Click to expand... Uanachama wa nini? Mimi ni mwenyekiti wa nini? Au anataka kuja jumuiya?
Ben Mugashe said: Pole Braza Mwenyekiti labda anataka kuomba uanachama Click to expand... Uanachama wa nini? Mimi ni mwenyekiti wa nini? Au anataka kuja jumuiya?